Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

maoni Bora kabisa haya mkuu
 
Tukiacha unafiki kwenye hizi nyimbo za Hv Currently kumjudge wimbo Kwa kusema ni Mbaya ni km tunapoteza muda tu .

Hakuna wimbo Mzuri Sasa hv kitu kinachofanyika ni Uimbaji ni FFF alafu Beat AAA hakuna kitu. Na hii Mashabik ndy mmetaka wenyew

Kwenye Beat kwel kapatia hata km kacopy Kwa makomando lkn midundo inakubali kuchezeka. Ingekuwa mnaangalia Uimbaji bhs huyo CHINO WANA MAN asingekuwa na Jina km ilo Sasa hivi Mjini.


Miaka ya kujudge wimbo Kwa contents na Uimbaji ilikuwa zamani . Sasa hivi hakuna wimbo Mzuri hata Moja na km utapatika bhs sio Kwa hawa wasanii waliojipata.
 
Nyimbo nzuri zipo kibao tu mbona,msikilize J Melody nyimbo zake mbona nzuri,ushasikiliza nyimbo za Jeshi?Alikiba?Hata huyo Zuchu mwenyewe mbona ana nyimbo nzuri tu,...huu kafanya wenge tu
 
Bahati Mbaya zaidi sina utamaduni wa kusikiliza nyimbo za watu waliojipata mostly nasikiliza Upcoming Artists hao wengine sikilizeni nyinyi
Nyimbo nzuri zipo kibao tu mbona,msikilize J Melody nyimbo zake mbona nzuri,ushasikiliza nyimbo za Jeshi?Alikiba?Hata huyo Zuchu mwenyewe mbona ana nyimbo nzuri tu,...huu kafanya wenge tu
 
View attachment 2701385

Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo.

Hivyo tu.
Nimesoma heading nikaja angalie page ambazo thread imeenda nimehitimisha kwamba wimbo utakuwa mzuri japo sijausikiliza ninachokiona ni haters tu ndio wanatambaa na Uzi.
 
Nimesoma heading nikaja angalie page ambazo thread imeenda nimehitimisha kwamba wimbo utakuwa mzuri japo sijausikiliza ninachokiona ni haters tu ndio wanatambaa na Uzi.
Acha ukuda unasemaje hujausikiliza halafu unaona mzuri 🙄🙄🙄🙄🙄hebu ingia u tube chap ndio urudi hapa
 
Hiyo ni hit tayari, bongo ukiimba mambo ya kuumizwa kichwa unapata sifa badala ya hela.

Nakutolea mfano ile nyimbo ya zuchu kwikwi ndo nyimbo yake yake yenye streams nyingi zaidi kuliko nyimbo zake zote toka aanza mziki mpaka sasa. Ina stream milion 40 alafu kaimba ujinga ujinga.

Hata hii utaona itauza sana, kikubwa yeye analijua soko Lake na anajaua anachofanya, me binafsi siwezi kukaa nikasikiliza huo upuuzi. Lkn binti anapambana sana huyo.
 
Huyu dada sina hata wimbo wake mmoja ninaoupenda. Sema ndio vile watu tunatofautiana kibaya kwangu kwa mwingine kizuri.
Kwakwel hata mimi, yan angalau kidogo ile Kwikwi ilishawisha kwa mgongo wa flavour za amapiano zilichanganyiwa kwenye beat yake ..zaid ya hapo sijawah kumpenda wala kumuelewa
 
Kweli kabisa mtu anaimba haya fungal Mageti, funga mageti alafu watu hawasemi nyimbo mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…