Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

Sio kweli views na streams zinatokana na wangapi wameuangalia na kuustreams regardless wameupenda au hawajaupenda.
Mara nyingi views zinatokana na msanii akishakua na jina afu maarufu katoa wimbo hapo watu watakimbilia youtube kuona nini kimejiri, ndo wanakutana na uhalisia kuwa wimbo ni mbovu kuliko kick na promo inazopewa, views sio kipimo cha walioupenda wimbo bali wanaotaka kushangaa ni wimbo wa aina gani?
Don't take it personal mamiziki yenu ya kisasa hata siangalii wala kusikiliza labda nikutane nao kwa lazima club, mi nafuatilia zilipendwa 90s mwisho early 20s
 
Labda kama unataka ligi, ila views na streaming ktk digital platforms huko US ni moja ya vigezo vinavyo tumika kupanga chart za bilboard.

Halafu ww unafuatilia nyimbo za 90s na 20s,sasa umejuaje kama nyimbo mbovu? Umejuaje kaufanyia promo?

Acha kujishtukia sijui unasikiliza miziki ya 90s,20s hili ni jukwaa huru,kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake,japo maoni yako binafsi sometimes yanaweza kutofautiana na wengi.So una haki ya kuseme hii nyimbo mbovu na wengine walio wengi nao wanahaki ya kusema hii nyimbo nzuri.
 
We chawa wa zuchu unawashwa matackle nini?
Unasema jukwaa huru afu mi nimetoa maoni yangu unapanic wapi nimesema nyimbo ni mbovu, wapi nimeitaja hiyo nyimbo ya Zuchu kwenye comment,
Mi nimezungumzia mijimbo ya kisasa kiujumla ndo ilivyo, kufanyiwa promo kibongobongo hiyo iko wazi kama nyeti ya mbuzi.
Eti najishtukia kusikiliza 90s na 20s, naskiliza ndio kwa sababu vibe yangu ipo huko, kiufupi playlist yangu haina hizo nyimbo zenu za kis*nge na wala sizifuatilii.
Punguza shobo kwa mtu usiyemjua au zuchu mke mwenza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…