Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Hahaaa wabongo shida sana mbona hayo ni mambo yao binafcUmri wa kila mmoja tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa wabongo shida sana mbona hayo ni mambo yao binafcUmri wa kila mmoja tafadhari
Acha mawazo mgando nkwabi ni mtoto wa kishua yuleJamaa kafata dollar huyu si sawa na mother yake
Kuwaridhisha binadamu ni kazi mlimsema haolewi sasa ameolewa mnajadili umri wakeAtakuwa na umri mkubwa sana
Yah sisi ni watu wa hovyo sana ndoa ni jambo la heri lakini ajabu comments nyingi ni za kumsema dada wa watuNa sisi huku Kagera tuna majina ya akina Fumbuka. Kweli majina ya kibantu tunaingiliana.
Sema wabongo ni ma hater kinoma. Unapata aina ya roho za watz kwa kusoma comments.
Miroho mibaya kama mangozi yetu ya kinyaninyani[emoji205]
Unajuaje hawezi kuzaa ,kina naomi campbell na jannet jackson wamezaa at 50 why not herMkuu huyo keshakata ring hawezi tena kuzaa inaonekana ujana wake alikuwa mchoyo sana, au huenda alijua maisha ni kutafuta pesa tu
Si kila aongealo mtu anamaanisha yawezekana amesema vile ili msimsumbue kwa maswaliMimi sijasema ni mkoboaji nimemnukuu yeye alisema hataki kuolewa wala kuzaa na kwa age yake ana nafasi ndogo sana ya kuzaa
KivpDar esalam Bado ni jiji au magufuli hakutekeleza alilotka
Waafrica ni watu wa ajabu sana mlimsema haolewi kaolewa sasa pia hamtakiAngekituliza tu, muda umemtupa mkono
Yah ur elite bongo shida sana kina janet jackson na naomi campbell wamezaa at 50 tena bila complications[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kwahio unasemaje?? ukikulia ushuani hauwi mario au?? basi ma mario wengi ni watoto wa ushuani yamezoea kuletewa kila kitu. Jamani ndoa haijali umri na huyo dada umri wala haujaenda. kuoa au kuolewa ni uamuzi wa mtu binafsi tuwaache wayajenge...watanzania mmekalia mi roho mbaya tuu eti wengine wanasema kuhusu kuzaa , kweli karne ya 21 hawajui sasa hivi hakuna umri wa kumkataza mtu kuzaa?? technology!! anyway bongo ni nchi ya kimaskini labda hivyo vitu hawavijui...Hongereni sana Mr & Mrs. Fumbuka.
Miafrika ndivyo ilivyo....roho mbaya kama nyani.
Waafrika bwana, mbona hawaeleweki? Sasa hawa ni Waarab au wabantu, kwanini wanavaa migwanda isiyoendana na tamaduni za kwao? Ukisikia ujinga ndiyo huu.Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi Ng’wanakilala.
Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.
View attachment 2463819
Una umri gani!!?Kumbe na Mamndenyi aweza olewa? 😂💌
Mkuu zungumzia 60 aisee ,hamsini tenaa[emoji1787][emoji1787]Hongera zake,
Huyu atakuwa ameolewa ili kupunguza upweke uzeeni, hajafika 50 kweli huyu mmama?
Mmnh namba A alafu chakavu?Kumbe na Mamndenyi aweza olewa? 😂💌
Well said tuna watu wa hovyo sana walimsema haolewi sasa kaolewa pia wanamsemaNi hatari sana kuishi kwenye jamii kama hii ya watu kama hawa........
Yaani mpaka nafsi yangu imepata woga jinsi ya kuwatazama watu huko barabarani........
Comments za huku zinasikitisha sana kama sio kuhudhunisha.....
Jamii inaelekea kubaya sana kama sio imeshaelekea kubaya.......
Hizi roho ndio zipo mitaani tunamoishi na maofisini tunakotafutia ridhiki....ni hatari sana.....
Jamii imejaa majungu, chuki, fitina, umbea na roho mbaya mpaka unashangaa huyu aliyeandika hapa ni binadamu au ni shetani........!!!
Hii mitandao ya kijamii na fake I'ds zinatufunilia sana uhalisia wa namna Gani jamii zetu Zina watu wenye roho mbaya mithili ya nyoka mwenye sumu kali.........
Yaani mtu humjui na wala hakujui, kaamua kuachana na njia mbaya na kufanya jambo la kheri lakini bado watu baada ya kumtakia kheri wanamuombea mabaya........
Wengine wanasema kuchelewa, wengine wanasema hatazaa tena, wengine utasikia alikuwa msagaji, wengine kaolewa kuondoa aibu, wengine utasikia kijana kafuata fedha yaani ili mradi majungu , fitina na kushindwa kuificha roho mbaya.......tunaenda wapi wanadamu.........
Sentensi ndogo tu ya kumtakia mtu kheri inakushinda mtu mpaka unalaani kana kwamba mtu mna ugomvi naye..........
Ndio maana miaka ya kuishi imepungua sana....mizigo ya chuki ,majungu, roho mbaya, na fitina tuliyoibeba vifuani mwetu vinatuangamiza sana......yaani mtu unaumia kwa neema au baraka za kiumbe mwenzio mpaka unalaani.....???
Watoto mbona ni jambo binafc sana