Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

Jamaa kabadili dini, ni mara chache kukuta mwanamke wa kiislamu anabadili dini sababu ya kuolewa na mwanaume mkristo, ila wala swine hawaonagi shida kubadili dini. Kwetu mwanamume kubadili dini eti kufuata dini ya mwanamke ni ufala, na utadhauriwa hadi kaburini!
 
Sio kweli wapo wanawake kibao tu wanabadili dini ,ofc mate wangu kaoa muislamu na sasa ni mkristo
 
Jamaa kabadili dini, ni mara chache kukuta mwanamke wa kiislamu anabadili dini sababu ya kuolewa na mwanaume mkristo, ila wala swine hawaonagi shida kubadili dini. Kwetu mwanamume kubadili dini eti kufuata dini ya mwanamke ni ufala, na utadhauriwa hadi kaburini!
Hahaa wala swine mbona hiyo swine sku iz hata nyie mnakula sana tu
 
From Wikipedia
Screenshot_20230107-134432.jpg
 
Hakuna ndoa hapo... Ni funiko la Sudani ya kusini....soma who is Ng'wanakilala at SAUT and Southern Sudan rebelation forces.
The death of Garang by airplane crash?
Namfahamu huyo jamaa kama Mwanahabari Mkazi wa Reuters.

Anahusikaje kwenye rebelation forces za Sudani Kusini mkuu?
 
Back
Top Bottom