Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
Labda ushuwani kwenu Uswahilini , sababu uswahilini kuna washua nako kina uswahili , lakini nina zungmzia washua wale wa Oysterbay,Masaki, Ada Estate and Reagent Estate wa miaka ya Kina Fumbuka yani kuanzia nyuma ya miaka ya 1995 kurudi nyuma walio kulia maeneo hayo.🤣 🤣 🤣 Kwahio unasemaje?? ukikulia ushuani hauwi mario au?? basi ma mario wengi ni watoto wa ushuani yamezoea kuletewa kila kitu. Jamani ndoa haijali umri na huyo dada umri wala haujaenda. kuoa au kuolewa ni uamuzi wa mtu binafsi tuwaache wayajenge...watanzania mmekalia mi roho mbaya tuu eti wengine wanasema kuhusu kuzaa , kweli karne ya 21 hawajui sasa hivi hakuna umri wa kumkataza mtu kuzaa?? technology!! anyway bongo ni nchi ya kimaskini labda hivyo vitu hawavijui...Hongereni sana Mr & Mrs. Fumbuka.
Miafrika ndivyo ilivyo....roho mbaya kama nyani.
Sisi tulio kulia Oysterbay na maeneo niliyoyataja, hatujawahi ona yoyote Marioo wa kiume toka miongoni mwa marafiki zetu tulio kulia pamoja , sababu hatukulelewa kuwa opportunists , ila tatizo ni kwamba Dada zetu wa kishua ndio wengi wao wali dakwa na Marioos kwa sababu watoto wengi wa kishua wana kua hawajui hawa Marioo tabia zao chafu ,hivyo wanakuwa rahisi kudanganywa na kustukia wame olewa nao .ama wewe umekulia maeneo hayo na miaka hiyo , nitajie kIjana gani wa kiume aliokuwa Marioo sababu karibu vijana wote wa maeneo hayo tuna juana .