Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

Na sisi huku Kagera tuna majina ya akina Fumbuka. Kweli majina ya kibantu tunaingiliana.
Sema wabongo ni ma hater kinoma. Unapata aina ya roho za watz kwa kusoma comments.
Miroho mibaya kama mangozi yetu ya kinyaninyani[emoji205]
Yah sisi ni watu wa hovyo sana ndoa ni jambo la heri lakini ajabu comments nyingi ni za kumsema dada wa watu
 
Yah ur elite bongo shida sana kina janet jackson na naomi campbell wamezaa at 50 tena bila complications
 
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi Ng’wanakilala.

Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.

View attachment 2463819
Waafrika bwana, mbona hawaeleweki? Sasa hawa ni Waarab au wabantu, kwanini wanavaa migwanda isiyoendana na tamaduni za kwao? Ukisikia ujinga ndiyo huu.
 
Ni hatari sana kuishi kwenye jamii kama hii ya watu kama hawa........

Yaani mpaka nafsi yangu imepata woga jinsi ya kuwatazama watu huko barabarani........

Comments za huku zinasikitisha sana kama sio kuhudhunisha.....

Jamii inaelekea kubaya sana kama sio imeshaelekea kubaya.......

Hizi roho ndio zipo mitaani tunamoishi na maofisini tunakotafutia ridhiki....ni hatari sana.....

Jamii imejaa majungu, chuki, fitina, umbea na roho mbaya mpaka unashangaa huyu aliyeandika hapa ni binadamu au ni shetani........!!!

Hii mitandao ya kijamii na fake I'ds zinatufunilia sana uhalisia wa namna Gani jamii zetu Zina watu wenye roho mbaya mithili ya nyoka mwenye sumu kali.........

Yaani mtu humjui na wala hakujui, kaamua kuachana na njia mbaya na kufanya jambo la kheri lakini bado watu baada ya kumtakia kheri wanamuombea mabaya........

Wengine wanasema kuchelewa, wengine wanasema hatazaa tena, wengine utasikia alikuwa msagaji, wengine kaolewa kuondoa aibu, wengine utasikia kijana kafuata fedha yaani ili mradi majungu , fitina na kushindwa kuificha roho mbaya.......tunaenda wapi wanadamu.........

Sentensi ndogo tu ya kumtakia mtu kheri inakushinda mtu mpaka unalaani kana kwamba mtu mna ugomvi naye..........

Ndio maana miaka ya kuishi imepungua sana....mizigo ya chuki ,majungu, roho mbaya, na fitina tuliyoibeba vifuani mwetu vinatuangamiza sana......yaani mtu unaumia kwa neema au baraka za kiumbe mwenzio mpaka unalaani.....???
 
Well said tuna watu wa hovyo sana walimsema haolewi sasa kaolewa pia wanamsema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…