Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

Labda ushuwani kwenu Uswahilini , sababu uswahilini kuna washua nako kina uswahili , lakini nina zungmzia washua wale wa Oysterbay,Masaki, Ada Estate and Reagent Estate wa miaka ya Kina Fumbuka yani kuanzia nyuma ya miaka ya 1995 kurudi nyuma walio kulia maeneo hayo.
Sisi tulio kulia Oysterbay na maeneo niliyoyataja, hatujawahi ona yoyote Marioo wa kiume toka miongoni mwa marafiki zetu tulio kulia pamoja , sababu hatukulelewa kuwa opportunists , ila tatizo ni kwamba Dada zetu wa kishua ndio wengi wao wali dakwa na Marioos kwa sababu watoto wengi wa kishua wana kua hawajui hawa Marioo tabia zao chafu ,hivyo wanakuwa rahisi kudanganywa na kustukia wame olewa nao .ama wewe umekulia maeneo hayo na miaka hiyo , nitajie kIjana gani wa kiume aliokuwa Marioo sababu karibu vijana wote wa maeneo hayo tuna juana .
 
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi Ng’wanakilala.

Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.

View attachment 2463819
Huyu jamaa kwa umri wake wote huo aanze from zero kujifunza makorokoro yote ya Kiarabu na Kiislamu sababu ya Mwanamke? Pathetic!
 
Labda ushuwani kwenu Uswahilini , sababu uswahilini kuna washua nako kina uswahili , lakini nina zungmzia washua wale wa Oysterbay,Masaki, Ada Estate and Reagent Estate wa miaka ya Kina fumbuka yani nyuma ya miaka ya 1995 walio kulia maeneo hayo. Sisi tulio kulia Oysterbay na maeneo niliy yataja, hatujawahi ona yoyote Marioo,
Huyu jamaa kwa umri wake wote huo aanze from zero kujifunza makorokoro yote ya Kiarabu na Kiislamu sababu ya Mwanamke? Pathetic!
Huyo Fumbuka ni Mwislamu, nime cheza naye utotoni na tumesoma wote shule moja primary school, kwao wote ni waislamu , hata huyo Baba yake nimeshangaa kusikia ni mkristo ,kwa siku zote tulidhani ni Mwislamu . Mama yao ni Mwislamu na ni Mzanzibari .
 
Mwanaume anabadili dini kwa sababu ya ndoa!? Dini unabadili kwa sababu ya kuyaelelewa mafundisho yake, hii ndio ina maana, hiyo ya Ndoa ni upuuzi tu, maana unakuwa umelazimishwa na ile ndoa. Kingine mwanaume hazeeki, kama mwanamke hataki umuoe mpaka ubadili dini unaachana naye, amsubiri mume wa dini yake.
 
Mungu Hana dini , Ila ana kanuni zake , hakuna dini ya mtu itampeleka mbinguni , Sisi binadamu ndo tumeng'ang'ana na dini , Mungu anatupenda sote na anatukarimu sote .....!!! Dini ni taasisi tuu za kuelimisha watu wamjue mwenyezi Mungu ili awaongoze kumtegemea , faida nyingine ya dini ni kuwachangia watu Fulani wapate hela ya Kula ..... Hakuna faida nyingine ya dini zinazofata ni hasara tuu hasa mnapotofautiana dini , kama vile kurumbana , kutukanana , kudharauliana , n.k
 
Ndugu yangu haya hadi mtaani. Mkikutana wawili watatu badala ya kujadili mambo ya msingi ni kugeuza watu topic. Tuko desperate sana na maisha ya watu kuliko yanayotukabili binafsi. Badala ya kutakiana heri ni comments za uzushi na chuki tu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ndoa hapo... Ni funiko la Sudani ya kusini....soma who is Ng'wanakilala at SAUT and Southern Sudan rebelation forces.
The death of Garang by airplane crash?
We ndie unayeamua iitwe ndoa au isiitwe ndoa ? Waafrica tuna safari ndefu
 
Hili ni jambo baya sana lakini nashangaa jamii inalichukulia kuwa ni jambo la kawaida kabisa........katika maongezi ya watu au kikundi cha watu asilimia kubwa mada ni watu na maisha yao.......Mimi ndio maana muda mwingi najipumzikia zangu nyumbani baada ya mihangaiko maana nimechoshwa na maongezi ya namna hiyo.......

Sioni mantiki ya watu wazima baada ya kujadili vitu vya msingi tunajadili maisha ya watu( hasa hasa wanaume)......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…