fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Mtapata tu mdogo mdogo, kile mnachopata kingine mkisev ili uje ifanye harusi ile moyo wako utafurahi.Ninae mkuu,ila ndo hatuna hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtapata tu mdogo mdogo, kile mnachopata kingine mkisev ili uje ifanye harusi ile moyo wako utafurahi.Ninae mkuu,ila ndo hatuna hela
alimradi wapate la kusema tuYawapendeze ili iweje. What then
kazi siyo ndogo binadamu hawana jemaHao ndo binadam bwana,alivokua hajaolewa wanamsema kua haoelew,now kaolewa et kaolewa kufunika kombe. Kaz kwel kwel
Ni mkazi wa kijiji cha nguriati.Uyo nkwabi ni nan wasifu wake
Kumbe alikuwa kanunga!Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi.
Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.
View attachment 2463819
Nkwabi leo atakuwa kapewa mibinuko Kama yoteHuyu Nkwabi ndo yule nkwab supermarkt auView attachment 2463798
nasikia huyu dada ni "ntu" wa michezo ya upinde wa mvua.Huyu kaolewa tu kufunika kombe na nafasi ya kazi aliyopo hii ni kwa waliosomea Cuba.
Wote Jana kuamkia leo walikuwa wanabinuliwasMwaka umeisha kibabe saana huu.
Huku Mammy baby huku Zuhura Yunusi
Imesha hiyo my love.atakae kuwa wa kwanza kuolewa ataanza kumchangia mwenzake😍😂❤nakutegemea sana cute
Nilicheka sanaNinae mkuu,ila ndo hatuna hela
Zanzibar2014Bongo kutamu.. angebaki bbc uingereza angepata wapi mume?
Yeye mwenyewe alishasema kwenye media kuwa hataki kuolewa wala kuzaaHao ndo binadam bwana,alivokua hajaolewa wanamsema kua haoelew,now kaolewa et kaolewa kufunika kombe. Kaz kwel kwel
Miaka yote alikuwa hajaolewa?Bongo kutamu.. angebaki bbc uingereza angepata wapi mume?