luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ktk maisha hakuna issue ya kuchelewa as long as ukitambua ww sio unae AMUA only God knows your destination
Ameolewa late lkn pengi e hakupanga yy
Ameolewa late lkn pengi e hakupanga yy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie mmoja .Kwamba ukiwa mtoto wa kishua huwezi kuwa Marioo?
Rais aliachwa na nani siku hiyo😂✍️Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.
Najua jamaa atakuwa kamforce sana,najua kakubali tu ili jamii isimshangae kuwa kwanini hana mume
Jamaa ategemee kuipata mbususu mara moja kwa mwezi
Na Uzee wote huo, si bora angeendelea baki Single
Angekituliza tu, muda umemtupa mkonoKwani ana uzee gani dada wa watu?
Kwani mapenzi yana umri ?
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi Ng’wanakilala.
Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.
View attachment 2463819
Na kamtafutia mchumba au sio?Akihojiwa na Salama Jabir alisema hategemei na hana mpango wa kuolewa ktk maisha yake, nadhani Samia atakuwa kamshauri kuolewa
Kwa Waislam ni jambo linalowezekana kabisa........Na kamtafutia mchumba au sio?
🤣 🤣 🤣 Kwahio unasemaje?? ukikulia ushuani hauwi mario au?? basi ma mario wengi ni watoto wa ushuani yamezoea kuletewa kila kitu. Jamani ndoa haijali umri na huyo dada umri wala haujaenda. kuoa au kuolewa ni uamuzi wa mtu binafsi tuwaache wayajenge...watanzania mmekalia mi roho mbaya tuu eti wengine wanasema kuhusu kuzaa , kweli karne ya 21 hawajui sasa hivi hakuna umri wa kumkataza mtu kuzaa?? technology!! anyway bongo ni nchi ya kimaskini labda hivyo vitu hawavijui...Hongereni sana Mr & Mrs. Fumbuka.Kwa miaka yote sikuwahi tambua kwamba Mzee Nkwabi alikua mkristo. Tumeishi nao Oysterbay ,wao waliishia Hill road ( Now Yesser Arafat st), kabla ya kuhamia Botswana ,ambapo waliishia nyumba mbayo baadae alihamia Mzee Liundi ambayo ipo jirani na nyumba aliyo ishi Mzee Apson.
Fumbuka ni mwislamu ziku zote , ninajua hivyo saabu tume kua wote OBay , hivyo namjua na kama baba yao alikua Mkristo basi watoto walifuata dini ya mama yao ambayo ni ya Kiislamu na mama yao ni Mzanzibari.
Kwahiyo Fumbuka sio marioo , ni mtoto wa kishua , aliye okea ushuani .
Mapacha fasta... Halafu tukiwa humu humu utasikia wamesha graduate wapo sehemu fulani... utasikia tena dah siku zinaenda si juzi!!Umri wa kuzaa Zuhura haujamtupa mkono?? Mungu amsaidie
Yah upo sahihi ni maamuzi tuuMapacha fasta... Halafu tukiwa humu humu utasikia wamesha graduate wapo sehemu fulani... utasikia tena dah siku zinaenda si juzi!!
We muhaya umevuka mstari mwekundu sasa.Na sisi huku Kagera tuna majina ya akina Fumbuka. Kweli majina ya kibantu tunaingiliana.
Sema wabongo ni ma hater kinoma. Unapata aina ya roho za watz kwa kusoma comments.
Miroho mibaya kama mangozi yetu ya kinyaninyani🐒
Hawana nia mbaya. Ni level yao ya uelewa ndiyo imeishia hapo hawana la maana la kucomment. Kamwe mtu hawezi kutoa positive kama kichwani kuna negativity. Hivo wanacomment kulingana na level yao ya exposure, msongo wao wa kimawazo na uwezo wao ndogo wa kufikiria. Tuwaelewe tu hawana jinsi😀😍Wengi sana wanakoment negative kuhusu zuhura ...mara umri umeenda, mara magauni ya kiislamu mabaya, ndoa ni jambo la heri kabisa...
Hupendi awe na familia ,katika dini suala la ndoa ni muhimu hata kama una miaka 50Na Uzee wote huo, si bora angeendelea baki Single
Hayo ni maisha yake binafsiHongera zake,
Huyu atakuwa ameolewa ili kupunguza upweke uzeeni, hajafika 50 kweli huyu mmama?