Zumaridi aviponza Vyombo vya Habari. TCRA yatoa onyo na kuvitaka kusimamia misingi ya utoaji habari

Zumaridi aviponza Vyombo vya Habari. TCRA yatoa onyo na kuvitaka kusimamia misingi ya utoaji habari

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.

Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.

Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma

IMG-20230321-WA1001(1).jpg
 
Lakini habari za kuwa mbinguni kila mtu atakuwa na jua lake ni sawa kwasababu aliyezisema si zumaridi.
Waafrika tunapenda habari za kuletewa na weupe akija mwafrika mwenzetu na habari zake hatuamini. Akija mweupe hata tunamuamini.
 
Kipindi cha mzee wa upako,mwamposa,kakobe,gwajima,Rwakatare vyote hivyo vilikuwa na vinaendelea kurushwa kupitia vyombo vya habari mbona hatukuona taarifa kutoka tcra
Japo simkubali huyu zumaridi namwona yeye na waumini wake ni vichaa ila naona wanamuonea. Kama ni marufuku wapige marufuku wote.
Wanamuonea na hoja zao mara hatumii bible kwani nani kawaambia yeye anahubiri ukristo labda kaanzisha dhehebu lake la kizumaridi
 
Back
Top Bottom