Cheka kispoti mkuu.Usiwaamini hawa jamaa.πππ Sometimes inabidi nicheke tu!.
Wanamuonea wivu "mufalime"!TCRA wamekuwa influenced ?
Kila mtu anajua Yule Zumaridi mgonjwa...
Wao wanaamini zile memes?
Wanatishika na memes??
Swali zuriTCRA wamejuaje anayoyaongea Zumaridi aka Mr Nice sio ya kweli [emoji16]?
Lakini habari za kuwa mbinguni kila mtu atakuwa na jua lake ni sawa kwasababu aliyezisema si zumaridi.Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.
Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.
Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma
Japo simkubali huyu zumaridi namwona yeye na waumini wake ni vichaa ila naona wanamuonea. Kama ni marufuku wapige marufuku wote.Kipindi cha mzee wa upako,mwamposa,kakobe,gwajima,Rwakatare vyote hivyo vilikuwa na vinaendelea kurushwa kupitia vyombo vya habari mbona hatukuona taarifa kutoka tcra
ππππTCRA wamejuaje anayoyaongea Zumaridi aka Mr Nice sio ya kweli π?