Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kama kuna Mgodi hapa ulimwenguni unaochekesha basi North Mara (BARRICK) unachekesha sana, hivi nini maana halisi ya neno expart Je wizara ya kazi na maendeleo ya vijana inasemaje kuhusu ratio ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hutakiwi kusoma soma tu ilimradi una mavyeti ambayo hayalipi lazima uangalie kwenye soko la ajira kazi gani ina ngawira nyingi.. 1.PMP- Project Management Professional (PMP) - $102,000 average...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilipita katika anga za Ethiopia kuelekea Instanbul nyakati za usiku kwa kweli sikuamini nilivyoiona ni jinsi gani Nchi ya Ethiopia ilikuwa inang'ara kwa mataa ambayo unaweza kusema hawa jamaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilifanikiwa kuingilia mtandao mmoja na kupata habari hii kuhusiana na wezi wa laptop pamoja na simu za mkononi.Soma habari na kachangia. Mtandao huu ni mkubwa sana kuna baadhi ya watu ambao ni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nilipata bahati ya kuhudhuria moja ya mikutano ya Muungwana ughaibuni, akashauri kwamba tusaidie kuwekeza nyumbani sisi wenyewe na pia tutafute wawekezaji. Basi siku moja akaja Mkulu Mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tatizo la kukosekana kwa mafuta ya petrol linaonekana kuendelea kuwepo kila siku. Je tatizo lipo wapi? Ni ukosefu wa mafuta katika hifadhi y aTaifa au meli za mafuta bado kufika nchini? Tatizo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Israeli Border Police are accused of tying Mohammed Badwan, 13, to a jeep as a human shield. (G.M. and The Alternative Information Center)
0 Reactions
4 Replies
2K Views
This is lawlessness/lack of civil order of highest order. Where is our moral obligation ( at least in layman's terms)? ____________________________________________ Date::1/15/2009 - Wamuua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Jana niliona kipindi hicho kwa sehemu. Muigizaji huyo alisema kwa kuwa,watu hutafuta viungo vya binadamu wenzao (kucha,ngozi,vichwa,viganja) kwa maelekezo ya waganga wa jadi,basi ili kukomesha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JK has shown ability to spearhead economic... 2009-01-12 10:57:10 By Joseph Mwendapole, Moshi IPP Executive Chairman Reginald Mengi has said that President Jakaya Kikwete will most likely...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii checklist ikiwa implemented na kufuatwa kama inavyotakiwa- wa mguu atapuliwa mguu na wa kichwa atapasuliwa kichwa. Nahisi Tanzania imekuwa moja ya sehemu za majaribio baada ya tukio la mix up...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ZAIDI ya watu 170, wamekmatwa na kikosi dhidi ya ujangili kanda ya serengeti, kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya ujangili, pamoja na ya kuingia katika hifadhi ya taifa ya serengeti kinyume cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pinda awaonya vigogo Mwandishi Maalumu, Zanzibar Daily News; Wednesday,January 14, 2009 @20:20 Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema viongozi serikalini hawana budi ‘kujinyonga' kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Muhingo Rweyemamu GAZETI la Raia Mwema wiki iliyopita lilikuwa na makala ya Ayoub Rioba yenye kichwa cha habari: ‘CCM kitavunjika ili kipate nguvu’. Tulijadili naye sana kuhusu maudhui...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
BARAZA la Madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro limzuia ununuzi wa gari la Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo ili fedha zilizotakiwa kutumika zifanye kazi ujenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zilizofika mezani hivi punde kutoka kule Moshi zinasema kuwa viongozi wa ngazi za juu serikalini hasa Mawaziri bila kujali wizara zao wamekuwa wakitembelea Chuo Cha Polisi cha mjini Moshi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimekutana na taarifa iliyotolewa leo na wakili wa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Reginald Mengi, siku moja baada ya gazeti la Tazama kuandika habari na makala zenye muelekeo wazi wa chuki na jazba za...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Naomba nifafanuliwe ivi aliyemaliza iyo kozi atakuwa Mwalimu au Admnistrator? Hopefull atakuwa Mwalimu kwa nini wasingeiita BED. Designing ya haya majina kwa kweli ni very tricky. AU kama wale...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
The length of a man's ring finger may predict his success as a financial trader. Researchers at the University of Cambridge in England report that men with longer ring fingers, compared to their...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Zanzibar has new driving licence and number plates By WILFRED EDWIN THE EAST ARICAN Posted Friday, January 9 2009 at 14:43 In a move seen by many as an attempt at asserting its...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…