Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Maegesho ya magari jijini Dar es Salaam siyo mengi sana. Na kwa jiji lilivyo hata kujua wapi haparuhusiwi au panaruhusiwa kuegesha gari siyo rahisi. Cha kushangaza utakuta mgambo wa jiji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mafisadi wanatumia fedha za wizi kujisafisha- Mengi 2009-01-07 12:51:00 Na John Ngunge Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, ameonya kuhusu tabia ya baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu samahanini sijatokea kwa siku kadhaa lakini naomba nitokee kwa haka ka-swali kangu, nimekauliza kwa kuwa kuna watu wengi humu naona sasa wanamtetea JK kwamba ni safi sana sasa. Mimi naona...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mwaka juzi (2007) nilikuwa nyumbani nikiwa namwuguza ndugu yangu wa karibu sana. Ikafika wakati wa sikukuu ya Krismas, na nikaamua nimnunulie mgonjwa huyo zawadi ya viatu, lakini nilitaka...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Picha zifuatazo zinaonyesha kuwa waafrika tuna creativity ya hali ya juu sana; hebu fuatilia halafu utoe maoni yako (Hii ni system ya kupata maji ya moto bombani)...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama kuna maeneo mawili muhimu ambayo yanaweza kubadilisha mji wa Dar Es Salaam kwa kuleta ladha mpya ya ‘jiji la kisasa’ basi ni maeneo yaliyopo base za majeshi yetu. Ninazungumzia maeneo ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
EPA yaikoroga CCM na Esther Mbussi (Tanzania Daima) CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeandaa jarida mahususi linaloelezea historia ya wizi wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Two children tried to leave the cooler climes of Germany to elope to sunny Africa, but only got as far as the local train station. Skip related content Related photos / videos Children 'elope' to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
2009-01-06 04:01:00 Cut prices or quit, Ngeleja tells oil firms By Vicent Mnyanyika and Beatus Kagashe THE CITIZEN The Government said yesterday oil companies that would sell fuel...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Lewis Makame ametofautiana na Msimamizi wa Uchaguzi, Malange kuhusu CHADEMA na Operesheni Sangara Mbeya. Wakati Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watanzania wana uwezo mkubwa wa kubuni misemo na kudumisha uhai na utamu wa lugha ya kiSwahili. "Kuku kwa mrija" ni usemi moja ambao umepata hadhi ya pekee katika kiSwahili cha mazungumzo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
EDITORIAL: Yes, heavy penalties can help to curb road carnage EDITOR THIS DAY DAR ES SALAAM THE Dar es Salaam- Arusha highway has continued to be a killing field, after 11 people were...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Joyce Emmanuel [25] mkazi wa Tabata Kimanga amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya panya kutokana na ujumbe wa simu aliotumiwa na mumewe. Mume wake alitumiwa ujembe huo na mtu asiyemjua na yeye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tumeona jinsi wana JF walivyo na upeo wa juu wa kuweza kuchambua mambo mabilimabli na hata viongozi. Sasa kuna changamoto napenda kutoa kwa JF, na ningependa kwa hili tusikurupuke tu bali...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Rapid growth spurt leaves amount of ice at levels seen 29 years ago. Thanks to a rapid rebound in recent months, global sea ice levels now equal those seen 29 years ago, when the year 1979 also...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka 1993, Judge (balozi) James Kateka alitunukiwa nishani hii hapa chini..... Papal Honour of the Grand Cross with the Star of the Order of Pius IX (1993). Judge Kateka ni mLutheri wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu watanzania si jambo la kushangaza =lakini linaitaji kustaajabisha hivi majuzi kuna vijana kadhaa wamekamatwa kutokana na wizi wa magari ya aina ya prado kutoka dar kwenda moshi wakiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Closed
Kuna fununu kuwa mfanya biashara maarufu Bw. Reginald Mengi alikuwa wa kwanza kuomba leseni ya Mobile Telecommunication. Lakini kwa sababu zisizojulikana awamu iliyopita ilimyima Leseni na...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Najiuliza sana sipati jibu, napiga picha bado sielewi . . . . Baadhi ya Watanzania kipatacho chao halali na kinachotambulika kuwa ni halali ni kidogo, ukilinganisha na style ya maisha yao . . ...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
UNAPOSOMA au kusikiliza habari zinazoandikwa na magazeti fulani fulani nchini ambayo yana wenyewe au kusikiza za redio za wenyewe au kutazama televisheni ya mwenyewe jiulize maswali kadhaa na hasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…