Mkurugenzi wa Takukuru mkoa wa Tabora kaswekwa selo na kufunguliwa mashitaka baada ya kumpiga hadi kupoteza fahamu Mganga mkuu wa mkoa wa Tabora aliekua anamhoji.Kisa cha mganga kupigwa eti aseme...
Bogus certificates: Start from the top!
Adam Lusekelo
Daily News; Tuesday,September 30, 2008 @20:01
SOME smart Bongo guys from the National Examination Council of Tanzania (Necta) have...
Ni muda mrefu sasa masikio yetu yameendelea kusikia matatizo ya wafanyakazi wa TAZARA.Hata hivyo sioni kama yupo mtu anayesikia kilio chao.Kama kawaida yake serikali imeendelea kunyamaza kimya...
Nimechoka mwenzenu tena nasema nimechoka .Nimechoka kusikia kila aina ya misaada na mikakati ya kuunemesha ulimwengu na Tanzania,lakini kila kukicha mjomba wangu,shangazi yangu binamu yangu...
Ni muda mrefu sasa masikio yetu yamesikia matatizo ya wafanyakazi wa TAZARA.Hata hivyo sioni kama yupo mtu anayesikia kilio chao.Kama kawaida yake serikali ime endelea kunyamaza kimya kana kwamba...
An End to Dog Countries leaders?
I didn't surprise to hear Mr. Jk be against the new rules of United Nation Security Council to prosecute any leaders in international court whose cause chaos...
...Say What? Interesting tidbits that differentiate Tanzania and America
-Oranges are green.
-One road in Karatu is paved. All the rest are dirt and very uneven.
-A meal at a local restaurant...
Ole wao wanaotishia kwa sms- DCI Manumba
Mwandishi Wetu Oktoba 1, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni vitendo
MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba amesema ya kuwa...
Here are some of the best photos blogs and websites where you can view pictures related to current events captured by professional photo journalists. Not all news sites in this list provide...
Kama mambo yanaenda jinsi yanavyoenda hasa kuelekea hizi siku chache za mwisho za uchaguzi kuna dalili za kutaka kusitisha uchaguzi huo mdogo hadi hali ya "usalama na utulivu" itakapotengemaa...
US Africa command battles sceptics
By Adam Mynott
BBC News, Nairobi
The new command is headed by a four-star General, William Ward
A new unified United States military command for...
Date::9/27/2008
Mwekezaji anakuwaje mwekezwaji!
Na Daniel Mwaijega
Mwananchi
INASHANGAZA sana, kwani wakati mwingine huwa tunafanya vitu kama vya mchezo wa Pwagu na Pwaguzi. Naamanisha...
WanaJamii,
Kuna watalii wasio wa kawaida na kwa sasa niandikavyo ni kuwa wapo tayari Tanzania. Wapanda mlima hao walifikia Kenya na huko wakapokelewa na makamu wa rais wa Kenya. Leo jioni...
Kwa wale wanaoamini umuhimu wa maisha na falsafa ya mwalimu nyerere kama kina sisi hii ni platform nyingine muhimu ya kujaribu kile wanachosema "keep the fire burining" Hii ni kazi ya Mwalimu...
Nilikuwa Kigoma siku si nyingi na kwa kweli nilishangaa sana kuona jinsi mkoa huo ulivyo nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na mikoa mingine.
Kigoma ni mji ulio kando ya ziwa maarufu lenye kina...
Tumekua tukishuhudia majengo yakiporomoka DSM moja had jingine!
Sasa wahusika wenyewe watakuwepo kutueleza hali halisi ya uwazi, uwajibikaji na uadilifu katika sekta ya ujenzi hapa TZ...
Wananchi tumefurahi kwamba mgao wa umeme umesitishwa hasa kwa mikoa ambayo ilikuwa kwa njia moja au nyingine ilikuwa imeathirika na mgao huo.Lakini matamshi yaliyotolewa na TANESCO mbona...
Mvua iliyonyesha siku mbili tu katika jiji la Dar es Salaamu imeanza kuleta kero kwa watu. Mitaro imeanza kuziba, watu wa maeneo yasiyopimwa wameanza mtindo wa kuzibua vyoo vyao na marundo ya taka...