Waziri mwakyusa"ajiuzulu"
--------------------------------------------------------------------------------
MKUU ACHA KUCHEZA NA MAISHA YA WATU HUU SI UTAWALA WA KIFALME KAMA UNAVYODAI...
Richmond:Ikulu yatoa tamko hatima ya Dkt. Hosea, Mwanyika
Na Timu ya Majira Jumapili
SIKU chache baada ya Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda kuwasilisha Bungeni taarifa ya Serikali juu ya...
Mimi ni muuguzi niliyemaliza shahada ya uuguzi katika chuo kikuu cha sayansi za Afya Muhimbili MUCHS sasa kikiitwa MUHAS. Nina zaidi ya miaka 5 tangu nimalize chuo, lakini sina ndoto za kuajiriwa...
Licha ya kashfa nyingi ambazo zimeiandama serikali ya CCM inaonekana kana kwamba Watanzania siyo tu tumekuwa wavumilivu bali pia tumekuwa hatusikii tena maumivu kwani tumekuwa kama tuliopigwa...
Kasheshe ya chanjo ni nzito.Kwa wale ambao hamtaki kusoma mmekaa tu kama mazumbu koko,lazima mtaona sakata la chanzo ni jipya!Kwa sisi wengine hakuna jipya hapa.Hata wadau wenyewe wa mkakati wa...
The Research on Poverty Alleviation (REPOA) has revealed that corruption in the country has drastically declined over the past five years. REPOA conducted research in six sample districts and...
These are the same people whose policies destroyed many countries in this World
IMF chief backs Kikwete on EPA
Correspondent in Washington
Daily News; Sunday,August 31, 2008 @18:01
The...
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa, amesema ushauri wa kutakiwa kujiuzulu kufuatia matatizo yaliyojitokeza ya watoto kuzirai baada ya kupewa dawa za chanjo ya kichocho na...
KANISA la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mkoa wa Mbeya, limeanzisha mradi wa hifadhi ya wanyamapori kwa ajili ya kuendeleza sekta ya utalii nchini.
Mchungaji wa kanisa hilo, Markus Lehner ambaye...
JK agonga mwamba
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
SASA ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa Rais Jakaya Kikwete kuhusu hadhi ya Zanzibar katika Muungano haijawaridhisha...
Date::8/30/2008
Kikwete umeshindwa EPA, tunakusubiri Richmond
Na Joyce Mmasi
Mwananchi
HATIMAYE ile taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu zabuni ya umeme wa dharura iliyotolewa kwa...
Date::8/30/2008
Kuondoka kwa Kampuni ya Richmond/Dowans sasa kwabakia kitendawili
Na Kizitto Noya
Mwananchi
SIKU tatu baada ya serikali kuelezea utekelezaji wa mapendekezo ya bunge kuhusu...
Dar to seek sovereign debt rating
The Dar es Salaam-Morogoro road. Financing development projects through sovereign bond issues will assist Tanzania expand its fiscal space. Photo/FILE...
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mjadala unauhusu Ufisadi ndani ya nchi yetu ya "Maziwa na Asali" yenye kila aina ya uzuri na kila aina ya utajiri yenye madini yote yenye thamani kuanzia...
Tonight 9pm BBC Two (For those in UK)
THE CONSPIRACY FILES
The Conspiracy Files: Lockerbie
Sunday, 31, August, 2008
2100 BST, BBC Two
After a massive police and FBI investigation...
Hivi wana jf huu uswahiba wa rais wetu na rais wa marekani kuna usalama kwa nchi yetu? Juzi imetangazwa ktk vyombo vya habari kikwete na bush wako ikulu ya marekani wakionekana marafiki au...