Huu ni utapeli wa hali ya juu. Wameshindwa kuthibitisha pesa zimekusanywa toka kwa kina nani na kiasi gani na wamezikusanya kwa njia ipi kama ni cash, cheque, money order n.k. zimewekwa kwenye...
Gavana wa zamani wa Bank Kuu ya Tanzania ametuwa juzi, kinyemela. Inasemekana baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo, Balali amerudi mara moja kutoa "taarifa muhimu" kama alivyodai mwenyewe...
Dongo hili anapigwa Kikwete? Lakini kuna umuhimu wa kufahamishwa tangu aanza uVDG wake ameshaleta "wachukuaji" wangapi? wenyewe huwaita wawekezaji
Serikali itathmini safari za viongozi - Kigoda...
THE AUDACITY OF FREEDOM AND THE TENACITY OF DEMOCRACY
Utangulizi:
Waheshimiwa,
Nimetumia muda kusoma kila post na kutoa shukrani kwa michango yenu yote na pia kupata muda wa kuachilia yote...
Makala Hii toka Raia Mwema ni ndefu lakini ni changamoto kwa JF, naomba muisome wadau....Kila mtu akitimiza wajibu wake tutafika.
Muungano Mtakatifu: wabunge, wapiga-filimbi, waandishi Na...
KUMBUKUMBU ZA MKUTANO WA WAZANZIBARI HUKO LONDON UTANGULIZI:Mkutano wa Wazanzibari wanaoishi nchi za Ulaya ulifanyika tarehe 22 March, 2008 katika jiji la London kuanzia saa 8.00 mchana hadi saa...
Hey guys mimi naona si vizuri kumtumia Nyerere kisiasa. Ni vizuri kumuongelea kwa mazuri lakini kwenda kwenye kaburi lake na kutumia kijiji chake kuweka mipango ya kuwadanganya watanzania kuhusu...
Kama baadhi ya wajumbe wanataka mafisadi ndani ya CCM wafukuzwe, kitu ambacho kitaungwa mkono na Watanzania wengi, JK kama mwenyekiti wa CCM anangoja nini!? :confused:
Heat at Butiama conclave...
An African country hurries to the fore
For once the optimists have been proved right- and its happening in that dark, backward continent, Africa. The ex British colony of Tanganyika and...
LOS ANGELES (Reuters) - A woman who claims she was ordered by federal airport screeners to remove her nipple rings with pliers demanded an apology from the U.S. Transportation Security...
Sina budi kutoa hongera kwa wana JF wote ambao wamekuwa wakichangia hoja hapa. Siku za karibuni nilisoma thread moja hapa kuhusu Mh. SU-PIKA ooh samahani, I meant SPIKA Sitta jinsi na yeye...
There are many perceptions as to what exactly ecotourism is. Ecotourism is by definition insightful, considerate and involving travel experience to pristine natural or rich cultural environments...
Kingunge: Hatuendi Butiama kuomba baraka
na Salehe Mohamed
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MWANASIASA mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru, amesema chama hicho...
Mwisho mwa mwezi huu kutafanyika vikao vya NEC (CCM) kwa siku mbili kijijini Butiama ambako ndiko alikozaliwa Muasisi wa chama hicho Marehemu Mwl. Julius K. Nyerere. Baadhi ya mambo ambayo naamini...
Huenda mkiangalia wenyewe mtaweza kuona cha kufanya kwenye hii logo yenu mpya...
Ni mawazo yangu kama mzalendo kuwa logo hii na hata ile ya zamani ni pana sana kama kuna uwezekano fanyeni...
Waziri wa elimu wa singapore amehimiza kuanznia muhula uja kuwepo na somo la kutongoza katika elimu ya awali,,
hali hii imetokana na kuwepo mikakati ya kuongezeka nchini humo
habari zaidi...
Ndugu wajumbe,
Kwa takribani wiki mbili nimekuwa nikipitia viatbu vya sheria kuona uhallai wa kubadilishwa kwa kesi ya braza ditto kutoka kuua mpaka kuua bila kukusudia,Je ni sheria gani...