Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Muajiri chuo cha Afya City College Mwanza hapeleki michango ya watumishi wake NSSF wala hajajiandikisha NSSF kwa kigezo kua waajiriwa wake wanalipiwa Na City College Kigamboni kitu ambacho sio...
1 Reactions
3 Replies
128 Views
Hatujawahi kuona umeme ukikatwa bila kuelezwa sababu kama huu wakati Rais yuko ziarani mkoa wa Tanga. Tumeambiwa tuna umeme mwingi wa ziada kwanini tunakatiwa umeme? Tusifuatilie ziara ya Rais...
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Habari wanajukwaa. Mimi ni Mtumishi Sekta Binafsi. Mwenza wangu ni Mtumishi Sekta ya Serikali Idara ya Elimu. Tumepambana kuomba uhamisho wa kubadilishana na mtumishi mwenzake kwa kutumia mfumo...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar Hemed Seleiman Abdulla amewahima wananchi mbalimbali kuhakikisha wanafanya mazoezi kila mara. Hemed Ameyasema hayo katika Uzinduzi wa matembezi ya upimaji wa...
0 Reactions
2 Replies
114 Views
Kila ukifika maeneo mbalimbali tangu mwaka jana Desemba (2024) mpaka hii Feb (2025) inaenda kuisha kuna ukame ambao hauelezeki. Miaka ya nyuma miezi hii maeneo mengi ni heka heka hakuna kupoa ni...
5 Reactions
13 Replies
217 Views
Hivi ndivyo wasemavyo wataalamu 👇
0 Reactions
2 Replies
130 Views
Wapendwa tumelia na kausha damu lakini kuna kausha damu wengine makampuni ya takataka. Kuna kampuni inaitwa Mkede hii kampuni Ina miezi sita haijabeba uchafu alafu wamekuja na viongozi wa...
2 Reactions
4 Replies
163 Views
Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi. Sasa wenzetu na mimi...
2 Reactions
10 Replies
315 Views
Kwenye ajira portal zimamoto kuna tatizo gani na mtandao wenu mbona kuna na vikwazo vya kuendelea na maombi ya ajira. Anayehusika jamani weka sawa engine siku zina yoyoma
1 Reactions
0 Replies
582 Views
Ripoti kutoka BBC... India is home to 1.4 billion people but around a billion lack money to spend on any discretionary goods or services, a new report estimates. The country's consuming class...
1 Reactions
1 Replies
143 Views
Wakuu mnajua Nini! Kwanza salamu sana. Pia amani ya mola iwe juu yenu. Nimekuja jukwaani Leo si Kuleta misemo na nahau ngumu kuzin'gamua bali nimekuja la jambo wote kunisaidia. Ni ajabu kwangu Leo...
5 Reactions
20 Replies
568 Views
Zifuatazo ni hasara za matusi anazopata mtukanaji mwenyewe, na pia hasara anazowasababishia wale anaowatukana: Hasara za Matusi Kiafya: 1. Kutukana kunaongeza viwango vya mfadhaiko wa akili...
10 Reactions
70 Replies
2K Views
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa? Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka...
44 Reactions
363 Replies
12K Views
Habari wadau. Binadamu ana mahitaji mengi sana, na mojawapo ya hitaji la lazima la sasa ni elimu. karibu Mahitaji yote ya binadamu yanahitaji Fedha kupatikana. Kipato chako kinapaswa uweze...
1 Reactions
2 Replies
102 Views
Ni hatua zipi za ziada waajiriwa wapya wafuate ili waweze kulipwa pesa zao za kujikimu maana shida zinaonekana ziko kwa ma DT wamefanya zibadilike majina na kuwa pesa za ziada
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Hizi ni Blog/Website zinazolipwa vizuri tanzania 1.Mabumbe .com -Milion 100 /mwezi 2.Millard Ayo-million 88/mwezi 3.The citizen-Million 75/mwezi 4.Ajira yako- Milion 43/mwezi 5.Kupatana -Milion...
1 Reactions
14 Replies
338 Views
Nimeshangazwa sana na aina ya viongozi wa elimu mkoa wa Morogoro, nimemtembelea rafiki yangu morogoro mjini,nimekuta yupo busy kuandika mikaratasi mikuuubwa ya mpango kazi wake wa mwaka...
0 Reactions
3 Replies
141 Views
Miaka 140 iliyopita tarehe kama ya leo ndipo mkutano wa Berlin ulipohitimishwa. Mkutano ulianza Tarehe 15 Novemba 1884 na kuhitimishwa Tarehe 26 Februari 1885 kwa kusainiwa kwa makubaliano ya...
2 Reactions
5 Replies
164 Views
Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Utangulizi Ubunifu ni kiini cha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia katika karne ya 21. Makala hii inachambua hali ya ubunifu barani Afrika na kuilinganisha na maeneo yenye mafanikio...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…