๐๏ธJINA LA UGONJWA
KUAMKA HUNA HELA MFUKONI.
๐๏ธDALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI"
(a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula.
(b) Kupoteza hamu na shauku ya...
Naelewa tabu zimekuwa nyingi,
ILA,
Kwa hio Mungu ametuma manabii wenye miujiza mikuu waende Dar tu?
Kwa hio kutanguliza sadaka kabla hamjaombewa bado hamjaona kuwa ni shughuli ya kiuchumi ndio...
๐๐๐ฎ๐ป๐๐ฒ ๐ก๐ฎ๐๐ฎ! ๐๐ถ๐๐ถ ๐ป๐ฑ๐ผ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐๐ถ ๐๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐๐ผ๐ป๐ฎ ๐ท๐ถ๐ป๐๐ถ ๐ท๐๐ฎ ๐น๐ถ๐ป๐ฎ๐๐๐ผ๐ฐ๐ต๐ผ๐บ๐ผ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ฆ๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฟ๐
Kwa Mara ya kwanza kwenye kizazi chetu tumeshuhudia kuona picha zikionyesha misioni za kiroboti za Nasa...
It's a very strange coincidence that only people who believe in God and gods are ever possessed by demons.
Why would a powerful immaterial being want to lock itself up in your body and make your...
Habari za jioni.
Basi tarehe 25.02.25 nguva jike akapashwa habari za ujio wa mama Samia Suluhu wilaya ya Kilindi Tanga.
Weeee! Nguva jike huyo mbio mbio kwenda Mabalanga Kilindi sehemu...
Habari zenu Wanajamiiforums.
Nimeshangaa jambo nililowahi kuliota leo limetokea live bila chenga. Mpaka mda huu bado naendelea kushangaa limewezaje kuwa sahihi.
Aisee ufahamu ni kitu tata.
Ndoto yako ukiitangaza kwa mtu au watu ni ngumu sana kuitimiza kwasababu tayari ushaitimiza kwenye matangazo yako.
Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani. Hutotamani kuendelea...
Walituma text kwa watu ambao hawajachukua Vitambulisho vyao wafike office za NIDA kabla ya tarehe 28 Februari, 2025 ila utaratibu wa kukipata umekuwa mbovu sana sana haufai na sio sahihi...
๐๐พDar es Salaam, jiji lenye giza na mwanga, limejaa ndoto na fursa zisizoisha. Lakini ni ndoto gani zinazozungumzwa na watu wanaoshindwa kutimiza malengo yao? Jiji hili linapokuja kwenye mandhari...
Tuchukulie Mfano, Kesi ya Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya.
Huyu Dada aliuwawa ndio, Kwa kuchinja kiasi cha mwili wake na Kichwa kutenganishwa.
Jamhuri kupitia Polisi ilikamata washukiwa, na...
Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam...
VIDEO Francis Butoto anayesadikika kuwa na miaka 64 Mkazi wa Kijiji cha Kishanda kata ya Kibare tarafa ya Murongo wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ameuawa na kufukiwa kwenye shimo la choo...