Hellow!
Kama una ndugu Yako anaenda Kwa Waganga usicheke naye, aweza kukutegea mtego na kukumaliza,
Imeandikwa ,adui wa mtu ni yule wa nyumbani mwake, yule aliye karibu, mke, mume,shangaji nk...
Kuna msemo unasema "Umeruka Vumbi Ukakanyaga Matope". Hakuna ubishi elimu yetu inahitaji over-hall, ni kweli kabisa kama tunataka kusonga mbele kielimu kuendana na ulimwengu wa sasa wa sayansi...
Kutokana maarifa pamoja na uzoezi wa zaidi miaka saba (7) tulionao kwenye eneo la Uhasibu(Accountancy) na kodi (Tax consultancy) nimebaini changamoto ambazo kampuni nyingi za CLEARING & FORWARDING...
Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa...
MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:
Katika Mambo haya Hakuna yametofautiana kutokana na Aina ya maisha mnayoishi na mumeo lakini wanaume wengi wapo hivi.
1__.MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA...
Salamu Wakuu,
Kwa waliowahi kufika Kibamba kwenye mnada maarufu wa nyama tamu ya mbuzi, bila shaka mtakuwa mmekutana na changamoto kubwa ya miundombinu duni – hasa vyoo.
Hali ni ya kusikitisha...
Mara Ninaporudi nyumbani nilipozaliwa huwa namuota sana marehemu mama yangu 🤔
Kwa namna anavyokuja ndotoni ni mtu mpole sana, mkimya,huniangalia na kutabasamu, mara nyingi huwa namuota yupo...
Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA.
Mfumo huo ambao...
Wakuu,
Imeelezwa watu wenye tabia ya kukopa mikopo ya mitandaoni na kisha kubadili laini zao za simu ili kukwepa ulipaji wa mikopo hiyo wapo hatarini kukosa mikopo kutoka kwenye taasisi zingine...
Katika nafsi yako nyeupe, Ebu jitazame na jitathimini logically acha mihemuko utafikiri kahaba kanunuliwa bia, then jiulize kuna maana gani ya kutengana kama wanadamu?
Kama kuna mtu alishawahi...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salalam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, All Balanda Idofulo, kunyongwa hadi kufa, baada kupatikana na hatia ya kumuua mkewe, aitwaye...