Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
"Nyakati ngumu huunda watu wenye nguvu, watu wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda watu dhaifu, na watu dhaifu huunda nyakati ngumu." by G. Michael Hopf. Its simple mabibi na...
0 Reactions
Replies
Views
Zimeibuka agenda ati Chato inatakiwa ipandishwe hadhi kuwa Mkoa ili kuridhisha mizimu na kujitakasa kisiasa Kwa watu wa Kanda ya Ziwa Me natokea Kanda ziwa ila siungi mkono hii hoja ya Chato kuwa...
0 Reactions
5 Replies
221 Views
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu: Uchumi Wakazi na Makazi Historia Makabila Fursa za Uchumi Hali ya hewa Mahusiano n.k Nitajibu kila swali leo Mkoa wa Kagera...
14 Reactions
316 Replies
9K Views
Kuna usemi maarufu unaosema, "watu wazuri wanamaliza mwisho," ambao mara nyingi hutumika kuelezea hali ambapo watu wenye roho nzuri, ambao ni waaminifu, wanyenyekevu, na wenye huruma, wanakosa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
🧵(Thread) 1️⃣ Enzi zile, Sodoma na Gomora ziliteketezwa kwa moto kwa sababu ya dhambi zao. Lakini leo, dhambi zilezile zinashamiri duniani k.v. usenge—mbona moto haujashuka tena? 🤔 2️⃣ Je, ni...
3 Reactions
30 Replies
551 Views
Matumizi ya mifuko ya plastiki inaweza kusababisha madhara yafuatayo; 1.) Kansa za aina mbali mbali - Uchomaji wa mifuko ya plastiki majumbani, mabarabarani, mahospitalini pamoja na kwenye...
42 Reactions
150 Replies
22K Views
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo...
32 Reactions
191 Replies
9K Views
Kwa mara ya kwanza nafika nilifurahia mazingira mazuri, ukijani mwingi na Hali ya hewa tulivu kabisaaa ikiambatana na mvua hasa nyakati za asubuhi. Baadhi ya Maeneo yana muonekano mzuri wa ziwa...
110 Reactions
391 Replies
17K Views
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na...
39 Reactions
279 Replies
6K Views
  • Redirect
Na Mama nae kaona kuwa Mtoto atamfaa sana hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 hivyo piga ua anaenda Kumrejesha.
5 Reactions
Replies
Views
Ikiwa wazazi wako walikushauri uende chuo kikuu ili uweze kuhitimu, upate kazi nzuri na uishi maisha mazuri, walikukosea. Ikiwa unafikiri ulisoma chuo kikuu ili upate kazi nzuri, utachukizwa...
7 Reactions
10 Replies
205 Views
Mnamo tarehe 26.03.2024 majira ya saa mbili usiku katika eneo la Kivukoni kwenye Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi), kulitokea hali ya vurugu kati ya abiria na madereva wa basi liendalo...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
  • Redirect
Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kumrejesha Januari Makamba, Mbunge wa Bumbuli, baada ya miezi sita ya kutohudumu kama waziri. Rais Samia alitoa tangazo hilo Jumatatu wakati wa ziara yake...
0 Reactions
Replies
Views
habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za...
3 Reactions
24 Replies
405 Views
Usiseme natukana watu, soma mpaka mwisho utajua kwanini kichwa cha uzi kimeandikwa hivyo. Katika mijadala na malumbano ya hoja hapa JF, kuna watu wengi waliojaa hasira vifuani mwao...
19 Reactions
110 Replies
3K Views
  • Redirect
Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia. Kama unahitaji faraja zaidibya kiakili na kimwili nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako...
1 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…