Wakuu,
Saivi kumeibuka mtindo (fasheni ) wa Hawa watumishi/manabii nk. Kuenda milimani, nimeshindwa kuelewa Huwa wanaenda kufanya Nini huko??
Na kwa maelezo ( kupitia tv/radio mbalimbali za...
Atukuzwe Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo hapa ndani
Shalom Aleichem Jumuiya
Salaam Aleykhum Enyi Waja
Mwadila Mpola
Mwagona Mwagona
Simboni
Mughonile mwebha
Mwakata mweh
Naam naam; ndugu...
Habari za Wadau wa JamiiForums!
Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa...
Kama ulikua hujui faida ya POMBE MWILINI wacha nikufahamishe;-
Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara,
Sasa leo wacha nikufahamishe faida ya kunywa pombe,
Lakini kabla sijakuletea...
Naomba nichangie suala linalohusiana na ustawi wa jamii.
Siku za karibuni kuna utafiti nimefanya ambao sio rasmi lakini kwa takwimu na matukio niliyobaini inanisukuma kuandika hapa jukwaani.
Kwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuendesha biashara haramu ya fedha mtandaoni bila kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Soma pia: Jeshi la polisi Mbeya...
π’ Internship Opportunity β FIRST PLUS LIMITED π’
FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience.
Qualifications:
β Diploma or Bachelor's...
Matukio mbalimbali wakati wa warsha iliyoandaliwa na JamiiAfrica kuwakutanisha Wanahabari na Wadau wa Habari kupeana elimu kuhusu umuhimu wa kuripoti Habari na taarifa zenye maslahi ya Umma, lengo...
Katika mazingira ya kazi, uongozi bora unachangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya taasisi yoyote.
Hata hivyo, kuna baadhi ya viongozi wanaoamini kuwa kuwa mkali na kutumia vitisho kwa wafanyakazi...
Mwanafunzi wa darasa la 6 mwenye umri wa miaka 11 anaesoma katika shule ya msingi Ungalimited amebakwa hadi kuzimia pamoja na kutoka damu nyingi na kijana ajulikanae kwa jina la kelvin...
Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho.
Kituo cha Afya cha Maheha...
Ni wanawake wachache sana wenye kuweza kuvumilia umasikini wa mme wake akifulia kwa sababu pesa ni kama maji ya mto kujaa,kupungua,kukauka,kujaa tena ni kitu cha kawaida kwa 3D eyes.
Ukiangalia...
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally ametumia mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur-an Tukufu kumuombea msamaha mwalimu wa Madrasa, Mussa Bashiri, aliefikishwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jumatatu, Februari 24, 2025, amezindua jengo jipya la Halmashauri ya Bumbuli, mkoani Tanga, akisisitiza umuhimu wa miradi ya...
Na mlichokisahau mlijitahidi sana kulificha hili hasa wa Waandishi wa Habari mbalimbali ila mkasahau kuwaambia Walinzi wa Hoteli husika nao Wauchune wasiseme na hata Wataalam wa IT wa hiyo Hoteli...
Imekuwa kawaida kuona wanyama mbalimbali hasa wale ambao wanaonekana hawana madhara ya mara kwa mara kwa Watu wakiwa mitaani hawana muelekeo, lakini inapotokea Wanyama hao wanaanza kusababisha...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma.
Mh. Twange...