Bob Marley Museum ni kivutio cha watalii huko Kingston, Jamaica, kinachotolewa kwa mwanamuziki wa reggae Bob Marley. Jumba la makumbusho liko 56 Hope Road, Kingston, na ni mahali pa makazi ya Bob...
Sekretarieti ya ajira mmekuwa msaada mkubwa sana kwa vijana wasio na connection kupata ajira.
Niukweli usio pingika Sekretariet ya Ajira mko fair sana katika kutafuta watumishi wa Umma, hakuna...
Baada ya PayPal kufungiwa kutumika Tanzania kumekuwa na changamoto kubwa ya kupokea pesa za kimataifa kwa sababu wengi wetu tumekuwa tukizoea kupokea pesa kwa PayPal.
Lakini kuna Online money...
Fani zipi za ufundi nzuri kwa watoto wetu wa kike , Nina mtoto wa mama yangu mdogo kaja kwangu nataka kumpeleka course za ufundi maana ndio naona Kuna ajira nyingi, kumrudisha shule na kufanya...
Hii Treni ya Sgr ingepita Karibu na miji Midogo ya Mdaula, Chalinze, Mlandizi na Kibaha Ingekuwa fursa kubwa sana kiuchumi na Watu wengi wangeishi katika miji hii na kufamya shughuli zao Dar es...
eti wakuu
Kunani hapa?
Mbona bado hizi meseji za ajabuajabu zinaendelea kutumwa licha ya mabiti yanayopigwa kila mara na hawa jamaa wa TCRA?
Kwanini hawafungiwi hawa watu?
Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha.
Tatizo kuwa hamtaki tena role ya...
Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari...
Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9
Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la...
Unaenda kwenye Bureau unakuta mwenzio anauziwa dollar vizuri ila ikifika zamu yako unaambiwa stock imeisha inabidi uwe humble tu maana hii Tanzania Kila kitu ukichukulia personal basi options ni...
Zaidi ya shilingi bilioni 1.1 zimetolewa kwa vikundi 92 vya wanawake,Vijana na walemavu katika Halmashauri ya wilaya ya Njombe ili zikawasaidie kuendesha miradi mbalimbali Fedha ambazo hutolewa...
Habari za mda huu wanajamvi,
Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam.
Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii...
Habari wakuu sisi tunaependa kunywa Vyombo kwenye hivi vi Grocery,Pub au Bar za mtaani kuna muda huwa tunajifunza mengi sana juzi nilika mtaani na machalii wakasema tukale vyombo tukaenda...
Habari za muda huu wakuu,
Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri...
Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo...
Kilio hiki ni Cha wakazi wa magole, kitunda dar es salaam. Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo kwenye eneo la magole kwa mpemba mchafu .
Hili tatizo linadumu zaidi ya miaka 2 sasa. Matumizi...