Tofautisha Ndoto hizi mbili!!
Kuota umerudi shule uliokua unasomea, na kuota ukiwa umeenda shule tena.
Kuona umerudi shule uliokua unasomea inamaanisha Kuna roho nzito imetumwa kurudisha mambo...
Wakuu,
Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.
Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa...
Kwa mijengo inayoshushwa kibaha Sasa hivi muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki na mtanikumbuka aisee nimetembelea Jana Kila maeneo ni ujenzi tu unaendelea yaani muda sio mrefu ardhi itakua...
Surah Al-Baqarah (2:65) states:
"And you had already known about those among you who violated the Sabbath, and We said to them, 'Be apes, despised.'"
Context of this verse:
This verse refers to...
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amezindua rasmi safari za ndege kupitia Air Tanzania kutoka Dar Es laam kwenda mkoani Iringa na kutoka Iringa kwenda Dar es laam huku akiitaka Kampuni ya...
Mbunge wa Jimbo la Madaba Mkoani Ruvuma, Dkt.Joseph Kizito Mhagama, ametembelea kata ya Mkongotema kwa lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika eneo hilo.
Ziara hiyo...
Habari wakuu!
Wakati natazama ujio wa marais wa Afrika kwenye ukumbi wa JNICC nimegundua ya kuwa viongozi wengi waliowasili wametumia magari yanayofanana kimuundo na yote yametengenezwa na...
Kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira hasa kwa wasomi "skilled labour force" sekta binafsi ni wazee wa fursa wameanza kutumia hizo fursa ipasavyo ili wa accumulate wealth.
Kwasababu uzalishaji...
Habari wakuu wa JamiiForums,
Natumai wote mko salama na mnaendelea vyema na harakati za maisha. Leo nina jambo la kufikirisha kidogo, ambalo nataka kulileta mezani kwa mjadala. Hili ni jambo...
Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani.
Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu.
Wajasiliamali wa dawa...
Your control of your sexual urges will be the reason you are either successful or a failure.
Porn and masturbation are the greatest killers of success. They stunt and destroy your brain.
Avoid...
Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kutoka kushoto), akizungumza katika uzinduzi wa kongamano la Utafiti Elimu Tanzania la mwaka 2025 lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar...
Hakuna kitu chenye nguvu na kinachozalisha kama giza. Nadiriki kusema nguvu ya kiumbaji ipo katika giza kuu. Ninaweza nisieleweke mapema ila nina uhakika kupitia mifano nitakayoitoa angalau...
Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana
Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana
Kilicho Nichanganya ni Mtumaji .
Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata...
Salaam Wakuu,
Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Rais ndo...
Huu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi...
1. Mafuta ya kula :
Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi...
TANROADS naomba niseme tu hamko makini. Kuna shimo lipo stand ya Dodoma MJINI Morogoro jirani kabisa na Substation kubwa kabisa ya TANESCO linasumbua sana!!
Kuna watendaji nahisi hawaelewi...
Mliposikia Mh. Lissu Rais ajaye wa Tanzania kufungua kesi ng'ambo nanyi mkajiona wajanja mkabadili jina la kampuni.
Sidhani kama mnaweza kuwakimbia wanasheria wabobezi kwa namna hiyo.
Ok yote...