Habarini jamvini,
Bado Hali ni mbaya mnoo na ya hatari Kwa wakazi wa vijiji vya LUMEMO, MAHUTANGA KIKWETA, IFOZA, KATINDIUKA IFAKARA kutokana na MAGENGE ya uhalifu wa MTANDAONI walioweka makazi...
huu ni ukweli mchungu.
tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha...
Kadi za simu zilisosajiliwa zimeongezeka kutoka Kutoka milioni 52.8 machi 2021 Kufikia Milioni 86.8 mwezi Disemba 2024.
Hili ni ongezeko la asilimia 64.39 linaloashiria ukuaji wa Teknolojia ya...
Uwekezaji wa Bilioni 73 uwanja wa ndege wa mtwara umewezesha uwezo wa kiwanja hicho kufanya kazi saa 24
Uboreshaji na upanuzi wa kiwanja; Kwa kujenga njia ya kurukia ndege yenye urefu wa mita 2800...
Rais AMEMTEUA Jaji mstaafu Awadh Mohammed bawazir kuwa mwenyekiti wa mamlaka ya rufani ya zabuni za umma (PPAA) AKICHUKUA nafasi ya Jaji MSTAAFU SAUDA MJASIRI Ambaye AMESTAAFU
Sekta binafsi ni moja ya sekta muhimu sana kwenye uchumi wa nchi, sekta binafsi imekuwa ikigusa makundi ya watu wa kila aina.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaipenda Sekta binafsi na ndio maana...
Wakuu,
Kila mtu amepitia changamoto mbalimbali tangu ukuaji wake mpaka hapa alipo,
Wengi wetu tumetokea katika familia masikini,changamoto hazikosekani
Pengine sasa hivi wewe ni...
Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) wamefunguka sintofahamu ya ajira iliyopo kwa wahitimu kuanzia mwaka 2015 mpaka 2023.
Soma: Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja kati ya sifa kubwa za kahawa ni kuchangamsha akili, huku akitoa ushuhuda wa yeye kuwa mtumiaji mzuri wa kinywaji...
Hili ni ombi kwa wanao husika tarehe mosi mwenzi wa tatu mwezi mtukufu wa ramadhani unaweza kuanza rasmi.
1. Mishahara ya watumishi itoke mapema ili waweze kupangilia bajeti ya mwezi mzima...
Hamjambo wote Wanahisa wa Vodacom. Nakumbuka Serikali yetu pendwa ilituhamasisha tuwekeze kwenye Kampuni ya Vodacom. Kiuhalisia Vodacom inafanya biashara sana na inapata faida kubwa.
Kwa kweli...
Japo kila kukicha wananchi wa mtaa wa kanindo wanapambana kutatua changamoto ya maji ila mambo bado na hatima yao bado ni kizunguzungu.
Licha ya kufatilia katika ofisi ya serikali ya mtaa na kata...
Serikali ya CCM imeamua kufanyia tangazo la jirani zetu wakenya kupiga marufuku watoto kuishi shuleni kuanzia darasa la nne. Sababu kuu wanayodai ni mmomonyoko wa maadili shule za bweni kuwa ni...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili.
Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11...
Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Wafilipi 3:5 Nalitahiriwa siku ya nane, ni mtu wa taifa la Israeli, wa kabila ya Benyamini, Mwebrania wa Waebrania, kwa habari ya...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire ametoa wito kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kutoka wilaya ya Kigamboni...
Ndugu zangu habari zenu
Kuhusu haya yanayoendelea kwenye ajira za ualimu ni uozo mtupu ,kwanini nasema hivi
● Huwezi kupata mwalimu bora kwa kufanya mtihani wa kuchagua tena kwa dakika 40
Kwa...