Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ฑ๐—บ๐—ถ๐—ป ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ด๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—น๐—ผ๐—น๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—น๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ Najua umeshawahi kujiuliza hivi inawezekana kuwa group Admin wa Kundi lolote la Whatsapp ? ๐Ÿ•ฏ๏ธNaam inawezekana japo sio ๐Ÿ˜ rahisi kha...
7 Reactions
67 Replies
2K Views
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana ajira na wenye ulemavu Patrobas Katambi amekemea tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye mahitaji maalum wakati wanapohitaji huduma kwenye ofsi...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Wasalaam, Wahenga hunena "Kimtokacho mtu kinywani ndicho kiujazacho moyo wake" kwa maneno yake ya jana kwa mtu mwenye kufanya tafakuri basi ni dhahiri shahiri yale wasemayo watu yana ukweli...
12 Reactions
34 Replies
625 Views
๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ต๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ. ๐—ก๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ผ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ ๐—ต๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—ป๐˜‡๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ผ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ป๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ถ๐—ฎ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ...
1 Reactions
4 Replies
95 Views
Kwa mnaotumia barabara hii asubuhi, tumeona msongamano mkubwa wa magari kila siku. Magari mengi yamehama toka kutumia barabara ya Bagamoyo na sasa watu wengi waendao makazini mjini CBD wanaitumia...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Kuna dogo mmoja tulifahamiana nae humuhumu ndani, alikua very charming na mtu wa watu sana, dogo alikua anauza account za biashara za instagram, yaani yupo yeye na wenzake wanakuza account from...
4 Reactions
11 Replies
356 Views
Nimeshindwa hata kuelezea, naomba kufahamu kama ni sawa jaman,. Kuna mtoto mdogo hapo nimemuonea huruma sana. Lakini serikal imekataza kuchapa watoto wawapo mashule, sasa swali, hapo ni...
2 Reactions
153 Replies
3K Views
Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha...
4 Reactions
84 Replies
4K Views
Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Reincarnation ni imani ambayo inaonekana kuwa ya asili na ya kawaida katika jamii zote za binadamu. Wazo hili linaanza pale mtu anapofikia kiwango fulani cha maendeleo ya kiakili na kuweza...
1 Reactions
0 Replies
92 Views
Amani kwenu wakuu Sisi ambao ni wenyeji wa Somalia tunakumbuka kwamba zamani rais alikuwa akitaka kusafiri, walitumwa wana usalama eneo husika Lakini cha ajabu kwa sasa huku Somalia rais...
1 Reactions
1 Replies
95 Views
Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini. Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium. Ambazo sijazitaja ...
10 Reactions
15 Replies
501 Views
Mamlaka ya Mwasiliano acheni ubabaishaji fanyeni malipo ya washiriki waliofika dodoma kwenye mkutano mkuu wa vyombo vya habari mliufanya Dodoma kitendo cha kutowalipa washiriki mpaka sasa toka...
2 Reactions
2 Replies
152 Views
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Angalia video clip Wanaume wengi huwa wanafikiri spidi na nguvu ndiyo muhimu zaidi kwenye kupata mafanikio. Ila tunakumbishwa utulivu na mbinu zisizotetereshwa na kelele za watu ni moja kati...
8 Reactions
16 Replies
403 Views
Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia...
17 Reactions
66 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake...
1 Reactions
1 Replies
220 Views
Habari za wakati kama huu wanajamvi!!! Kama inavyosomeka hapo juu hayo ni majibu ya kijana mmoja kutoka kilimanjaro ambae ana umri wa miaka 14 akifanya kaz ya kuuza duka moja hapa jijini Dar...
2 Reactions
5 Replies
128 Views
Kuchelewa sio nadharia bali kupo ila inatakiwa udhibiti hisia za kuchelewa ili usijipoteze zaidi Zipo sababu nyingi zinafanya watu wachelewe ila bila kujali kuwa ulicheleweshwa au ulijichelesha...
2 Reactions
2 Replies
84 Views
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi akimueleza Meneja wa Tanroad Mkoa wa Simiyu Kusimamia Mradi na ukamilike kwa muda na kuzingatia Viwango na Ubora wa Mradi huo. Pia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ