Uzi huu hauhusu kupigia chapuo kampuni yoyote ya betting. Wanasema kizuri kula na ndugu yako.
Nimecheza Biko, Tatu mzuka kwa kutarajia mamilioni nimeishia kuambulia pesa kidogo toka BIKO...
Nimejifunza kitu wiki hii Tofauti ya Nation na Country.
Kwa kiswahili sijui ni aje
Nchi na Taifa.
Taifa ni nchi yenye
Tamaduni moja
Lugha moja
Dini moja
na mila moja
Wakati nchi Ni jamii ya watu...
Huyu kijana alikuwa kama na miaka 20 hivi, ilikuwa mwaka 2005 alikuja kumtembelea baba yake, ni mchanganyiko baba wa kichaga, Mama mjerumani, Nyumbani kwao sinza Dar es Salaam,huku baba yake...
Sina Maneno Mengi ilaaaa....
Baada Ya Ndoto Ya Kuota Niko Darasani Karibia Kila Siku Kwa Takribani Mwezi Kilichotokea Ni Hasara Kubwa...
Kupoteza Pesa Sehemu Flani Nlipowekeza,Kufeli Kwa Jambo...
Habari ya mchana
Nimeamua niwaandikie wenzangu kwa kifupi kuhusu madhara rafiki zangu waliyoyapata baada ya kununua mboga za majani pale stendi ya daladala Mbezi Luis.
Siku chache zilizopita...
Moja ya vitu sitasahau katika maisha yangu ni pamoja na kipindi nilichoishi kwa mtu ambaye ni almost ndugu yangu.
Ilikuwa miezi mitatu tu lakini nilihisi ni milenia tatu!
Na mwisho wa siku...
If you ever lost your close person you will know what I mean, the person you used to talk and experience the world together. Now you know that he is no more, now you imagine those conversation you...
Habari wakuu wa JF,
Thank you for your advice all of you. I know no one knows me but only those who I gave them my number, I'm not a liar as some people said, I'm not a cowered as other saying, I...
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni...
https://youtu.be/n7NOBfa2QVo?si=8pin2lnPFr1gw4Vh
Hamas wanadhani wanamkomesha yahoud, 😂 hawa wamekomeshwa miaka zaidi 2500 na bado wapo. Wasuburie round nyingine ngoja wakusanye nguvu.
Ndio umeshinda urais wa awamu ya saba. Ni vitu gani vi-5 utaviondoa au kuvifanyia reformation ili utendaji wako na maendeleo ya wananchi viwe thabiti.
Karibuni wakuu.
Yeeeerrrrreeeeh!
Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba na sitasoma tena kitabu chochote hadi nife.
Siwezi kusoma vitu vilivyoandikwa na wanaume wengine. Huo ni udhaifu.
Yani dume...
RATIBA YA MABORESHO KITUO CHA KUPOKEA, KUPOZA NA KUSAFIRISHA UMEME WA MSONGO WA KILOVOLTI 220 CHA UBUNGO.
20, FEBRUARY 2025
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Pwani Kusini...
Habari wananzengo
Natafuta shule zinazofanya vizuri A'level zilizopo Dodoma, zenye maadili pia, mchepuo wa HGE, ikiwa ya mchanganyiko itakua vizuri zaidi, ninaijua moja tu st.Peter claver basi...
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande
Dar es Salaam– Sekta ya michezo ya kubahatisha nchini Tanzania imepiga hatua kubwa baada ya kutangazwa rasmi kuhusu ujio rasmi wa Bahati Nasibu ya...
Pamoja na kuwa tuna kilio kwa serikali kutuondolea malipo ya kuvuka daraja la Kigamboni, niwapongeze NSSF kwa kujaribu kuweka urataribu wa kulipa malipo ya awali kabla ya huduma ya kuvuka na...