Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama, baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.
Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza, kosa kubwa..
Wiki mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la...
Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara...
Kuna huyu Mwamba anaitqa Sunday Temba kipindi cha mapishi ITV, Mwamba anafuatilia mapishi yakikamilika tu anasogeza pembeni anapiga 😀 Alianza kutangaza akiwa mwembamba sasa hivi ana kitambi...
Kuna watu wanapitia magumu sana. Sijui kwasababu ya kuishi kwa kuiga au kukosa maono.
Huyu maza nafanya naye kazi shirika moja la umma. Kabakisha muda mfupi kustaafu. One day nilimgusia suala la...
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu...
Kuna hii ishu inayowahusu ripota wa Azam TV mikoani, wapo walioanza na kampuni wapo waliojiunga na Azam baadaye. Kwa mujibu wa mikataba yao ambayo ni renewable Kila baada ya Mwaka Mmoja au miaka...
Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio...
Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo...
Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh...
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina Melinda gates na Mange Kimambi? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze...
📖Mhadhara (64)✍️
Kuna baadhi ya wafanyakazi kwenye maofisi wana tabia mbaya zinazowakera wenzao (watu wengine). Hebu tiririka tabia mbaya mojawapo - Natiririsha baadhi ya tabia mbaya.
🔘 TABIA...
Mwanaume alikuwa na kawaida ya kumpa ombaomba mmoja Shilingi milion moja kila mwezi.
Mtu huyo aliendelea kufanya hivyo kwa muda Sana.. Sasa Siku moja, akampa ombaomba shilingi laki saba na nusu...
Kwa sababu nawaonyesha upendo. I take care of them etc, wa Swahili wamekuwa wakinionyesha chuki ya ajabu sana. Plus kuwachukia wanangu pia. Kuna muda niliwahi kuiacha nyumba niliyo Jenga (...
Leo ni siku ya kukemea adhabu ya kifo duniani.
Katika jamii zetu kuna wahalifu wengi na wengine ni sugu na wengine tunatamani wauwawe tukiamini kuwa uovu utakoma. Lakini je adhabu ya kifo...
Huu Uzi ni Kwa waaminio juu ya Yesu Upande wa Kristo na wenye Imani ya Kiyahudi .
Iko hivi Wayahudi hawakumwamini Yesu Kristo Hadi Leo hii hawamwamini.
Wao hata Leo wanaendelea kumngoja MASIHI...