Karibuni wakuu,
Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
Wakuu I'm fed up with life
Nimechoka na haya maisha
Familia yangu ilikuwa sawa even my kids Ila wamei-block
Biashara zangu wame-block
Everything is down now.
Kwa mtu yeyote anayejijua ni...
Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi...
Kwema wakuu,
Nahitaji watu wa masuala ya usafiri wa anga wa ndege na helicopter wanatakiwa wawe na experience kwenye masuala yote ya usafiri wa anga nahitaji watanzania lakini kama kuna wakenya...
Karibuni kwa maada .....
Tarehe 1 Novemba, ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa Katoliki. Siku hii inawakumbuka watakatifu wote wa Kanisa, wale ambao walishi maisha ya mfano na sasa...
Nawataarifu tu wadau huyu mama Askari anayetuhumiwa kuwatuma vijana kufanyia udhalilishaji Kwa Binti wa yombo anaweza akatoboa kinyume kabisa na matarajio ya wengi:
Mfano wa kesi inayotaka...
Sikukuu ya Christmas ambayo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo [Mungu] ambaye alizaliwa Israel katika mki wa Bethlehemu , miaka 2024 iliyopita.
Wachagga, katika kikao chao cha Mwisho wa...
Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi...
Ofisi ya Nida ubungo wameanzisha biashara nyuma ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho linaloendelea.
-
Wafanyakazi wa getini wamekuwa wakitoza elfu moja moja ya kanga kwa wanawake ambao wamekuja...
Maji huku Mwanza imekuwa ni kero kubwa sana, wanachuo tunaishi kwa tabu sana tunapata shida kubwa ya maji ilihal tuko karibu na ziwa Victoria
Sijui mnatusaidiaje kuepukana na hili. Tunalipia bili...
Unahitaji nini katika maisha yako? umefahamu ni nini unapaswa kufahamu ili upate unacho kihitaji? umefahamu jinsi ya kufanya katika unacho kifahamu?. Ni muhimu sana ujue nini uhitaji, kufahamu...
Unahitaji nini katika maisha yako? umefahamu ni nini unapaswa kufahamu ili upate unacho kihitaji? umefahamu jinsi ya kufanya katika unacho kifahamu?. Ni muhimu sana ujue nini uhitaji, kufahamu...
Leo hii naandika haya ni tarehe 20 takriban siku saba sasa kila unapowasiliana nao wanakuambia suala lako tunalishughulkia, ndani ya saa 24 usipowatafuta tena ndo inakuwa imeisha hiyo. Ukiwatafuta...
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe umeonyesha wasiwasi wake kuhusu uvamizi wa hifadhi za barabara unaofanywa na wafanyabiashara ndogo ndogo (machinga) pamoja na changamoto ya...
Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia...