Katika ulimwengu wa kisasa wa teknolojia, matumizi ya akili bandia (AI) yameongezeka kwa kasi kubwa, huku mifumo kama ChatGPT, Google Gemini, Grok AI, na Microsoft Copilot ikitumika kusaidia watu...
kuna vizazi vingine havitakiwi kuwepo hata Mungu mwenyewe alipiga kiberiti pale sodoma na gomola, hivi vizazi vya ushoga na usagaji, ingefanyika tu namna vikafutwa kwa namna yoyote ile, ili...
Utupu umekuwa glorified
Sio tu kwa yale atakayaoyaona kwenye TV akiwa likizo ila hata siku ya gradu yake kuna wavaa wa utupu tupu watakuwepo siku hio kulingishiana mashepu.
Akiingia kwenye simu...
Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka
huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri...
Kwenye hiyo video hapo, huyo dereva wa bus alikua na haraka gani ya ku overtake sehemu kama hiyo na anaona kuna mtu anakuja mbele yake. Na bado unampiga taa kali usoni.
Hawa madereva hawana...
Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia Permanent Ink for plastic ili yasifutike kwa haraka
Ili kuboresha...
Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress.
Sasa kuna kipengele cha...
Walifika kwa kupitia bandari ya Mombasa.Kisha wapagazi waliwasaidia kubeba mizigo yao na safari kuendelea, wakati huo kulikuwa hakuna namna yeyote ya usafiri kutoka Dar kwenda Kilimanjaro.
KUna...
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mh. Mudrick Soraga (kulia), akimsikiliza Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, wakati wa kongamano la Z-Summit 2025...
Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha...
Huyu ni Panyabuku maji, anaishi kwenye maji na nchi kavu.
Wakati mradi wa kujenga dimbwi la maji huko jamuhuri ya Czech ulikua umekwama kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa miaka 7, licha ya...
Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya...
Wakuu salam,
Bili za mwezi Februari zimetoka, jamani huku kwetu Mbezi Beach kila mtu anashangaa ubambikaji wa bili hizi. Yaani kwa kila mtu bili imeshoot kuliko kawaida wakati matumizi ni ya...
Shehe Dkt. Sule amesema Waislamu watawatetea Wapalestina katika swala la Israel kwa sababu Msikiti wa Al Aqsa ni mali ya Waislam siyo Wayahudi
Dkt. Sule amesema kwa sasa Msikiti wa Al Aqsa...
Katika Makala hii utatambua mengine yafuatayo,
1) Kiini cha mgogoro wa Israeli na Palestina
2) Maeneo muhimu wanayogombania
3) Vilivyo juu ya ardhi ya Hekalu la Sulemani lilolobomolewa
Je...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho kimefanya mabadiliko ya kuongeza wajumbe katika Mikutano Mikuu ya Kata na Mikutano Mikuu ya Wilaya ili kupunguza...