Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wana nzengo, Sheria ya kupata kipimo cha vinasaba (DNA) hapa Tanzania ina mchakato mgumu kidogo. Ni kwamba ni ofisi maalum zinaweza kuomba kupata vipimo hivyo tu, katika kutekeleza...
26 Reactions
55 Replies
3K Views
Jambo wadau? Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha na maneno mengi. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia upako wa manabii na mitume jinsi wanavyoanza huduma zao kwa pako za...
8 Reactions
105 Replies
6K Views
Anonymous
Rejea mada tajwa hapo juu. Shule ya sekondari Mawindi ambayo Inafanya Vizuri katika matokeo ya Kidato cha nne kwa Miaka mitatu mfululizo wameweza kufuta Division Zero. Lakini pamoja na Uwepo wa...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Katika mwaka wa 2023, Tanzania ilipokea dola milioni 512.8 kutoka Marekani kwa ajili ya sekta ya afya, ikiwa nchi iliyoongoza kupokea msaada mkubwa zaidi wa afya barani. Nigeria, taifa lenye...
3 Reactions
15 Replies
684 Views
https://www.youtube.com/watch?v=8_9k1D_x6gs Siongezi neno. Jamaa aitwaye Daudi kapata kipigo toka kwa mkewe na watoto wake na kupoteza maisha. Hebu tudurusu kadhia hii wakati tukijikumbusha kuwa...
0 Reactions
9 Replies
384 Views
Ni vigumu sana Tundu Lissu kufanikiwa kisiasa kwasababu ni mtu wa tuhuma na wala hathamini michango ya wanasiasa wenzake ndani na nje ya Chama Tundu Lissu ni mtu complicated sana na ni vigumu...
-2 Reactions
39 Replies
462 Views
Nimefungua huu uzi kwa ajili ya kuwakutanisha watumishi wote wenye idea ya ujasiriamali, wanaofanya biashara,kilimo,ufugaji na wanaotarajia kufanya biashara, kilimo na ufugaji n.k Kwa ugumu wa...
16 Reactions
92 Replies
8K Views
  • Redirect
Chama cha NCCR Mageuzi kimesema hakitashirikiana na chama chochote cha siasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kutokana na maumivu walioyapata uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 walipojiunga na ukawa...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu, najua mpo salama na Mungu awalinde sana. Mara nyingi huwa napita njia ya Tanga kuelekea Moshi kukatiza Wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro. Kwa mfano Pale Same kinachondelea Pale...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024. PPAA...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia 1.Fanya kazi kwa bidii 2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10...
21 Reactions
65 Replies
2K Views
Nilikua nachungulia pale Goma takribani wiki nzima. Nilipotembelea huko last year kwa mishe zangu, palikua pamekaa kimachale machale. Yaani unawaonea raia huruma mpk unatamani uuze hadi viatu...
3 Reactions
9 Replies
491 Views
R.I.P[emoji24][emoji24] inasikitisha sana Huyu msichana anaitwa Barke, ameuliwa kifo vibaya sana anaishi llala mtaa wa utete na Pangani. Inasemekana siku ya tukio tatehe 31, walichukuana na...
39 Reactions
342 Replies
35K Views
Naandika nikiwa na huzuni sana hapa najiuliza ni uzembe wa Serikali au Uongozi wa Hospitali ya Mloganzila ulio chini ya Profesa Janabi au Dr Magandi... Mwaka jana 2024 nilikuja na mgonjwa wangu...
0 Reactions
2 Replies
192 Views
Oya wanajamvi, Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop, oy muwachane TU kama hawana mpango wa kuajiri...
16 Reactions
47 Replies
2K Views
Leo nimeamua kujikita Katika mada hii inayohusu Trafiki, Mimi Nimezunguka Barabara nyingi sana nchi hii na nimekutana na Trafiki wa aina mbalimbali, wanoko, wapenda haki, wanaopenda kuelimisha...
0 Reactions
2 Replies
146 Views
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Mwalimu Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam kutoka Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Nakumbuka J.P.Magufuli alipiga marufuku haya maduka naona yanazidi kuongezeka anyway sio mbaya. Mbaya ni malalamiko yanayoendelea hosptitali Dk anaandika dawa anakwambia nenda pharmacy. Unaenda...
0 Reactions
12 Replies
269 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…