Inakadiriwa ifikapo mwaka 2050, kizazi cha wa-Afrika wenye akili mgando kama ilivyo sasa kitakuwa kimetoweka. Kizazi cha wakati huo kinabashiriwa kuwa na uwezo mkubwa wa kung'amua mambo kuliko...
Habari wakuu wangu.
Hapa mtaani kwangu Bana Kuna jamaa kakimbia watoto wake wawili pamoja na mama mtoto wake.
Kwa Sasa namuona dada anapitia hali mbaya Sana ya kiakili.
Wee jamaa kama upo humu...
Nani ameangalia show mpya ya OJ Simpson ya 2025 on Netflix? imefocus zaidi kwenye upelelezi, uwasilishwaji wa ushahidi mahakamani na influence ya media mbali na mambo mengine.
Kuna somo kubwa la...
Jamani wanaJukwaa. Huku kuingilia mapenzi ya watu na kujifanya mwema wakati mwingine tuangalie na kuwa makini
==============
Mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Akwii ambaye ni mlinzi na...
Habari Wakuu. Binafsi sijaleta mada hapa kama njia ya kutetea watu kuishi maisha yanayohatarisha afya zao. Ila nakumbusha tu kwamba hapa JF kufikia 20100, wote hatutakuwepo pasipo kujali...
Elimu ni kitu muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu lakini hutakiwi kuwa mtumwa elimu kwa sababu kuna maisha nje ya elimu.
Wazazi wa siku hizi sijui ni ujinga au ni ulimbukeni yaani...
Wakuu za jumapili
Nimepata wazo la kununua dikoda ya Azam Tv iliyosajiliwa Kenya na kurudi nayo Tanzania nije kuitumia. Je nitaitumia kama kawaida au mpaka nije kuibadilisha?
Lengo ni kupata...
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Peace,
Awali ya yote niweke wazi andiko langu halina kusudi la kuhafifisha au kuathiri biashara ya mtu yeyote ila ni ushuhada wa kweli na dhairi wa watu wanaonizunguka.
Nimekuwa nikisikia na...
Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha...
Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi
Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kila mmoja wetu hukutana na changamoto tofauti, lakini hakuna sababu yoyote inayostahili...
Nimekumbuka maneno ya proff mwenye mbwembwe kuhusu bwawa .
Watu Puppet kama huyu proffessor ilipaswa wasiruhusiwe kutumia umeme wa Tanesco unaotokana na bwawa . Hawa wazawa waliotumiwa na...
Mimi ni Askari wa ulinzi kutoka Kampuni ya Asgard Security Company Limited yenye ofisi zake makao makuu Kinyerezi DSM, malalamiko yangu ni kuwa hatujalipwa mishahara yetu wa miezi miwili na...
Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana.
Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE"...
Leo kuna mtu nimekuta anafurahi kufa kwa wa Congo kwa vita ila kukasirishwa na wapalestina kufa wakati wote ni vita ya udini na ukabila.
Hivi hawa waafrika wa vijiwe vya kahawa ndio waliaminishwa...
Ukisoma Biblia, kutoka 21, 10. Inasema
"Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa."
Ukisoma toka mwanzo utagundua...
“Baada ya kuwa Rais nilimuomba msindikizaji wangu twende kwenye mgahawa kwa chakula cha mchana, tukaketi na kila mmoja wetu akauliza anachotaka.
Juu ya meza ya mbele, kulikuwa na mtu anayesubiri...
Nimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho
Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana
Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali...