Kwenye suala Mobeto Leo, wanawake kwa wanaume wanajadili suala la Mobeto.
Kiuhalisia Maisha jikune unapoweza pia Kwa wanaume mwanamke sio mtu wa kumuwekea Dhamana, unaweza Gharamika wewe na...
OFISI YA RAIS,
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
DR. SAMIA SULUHU HASSAN,
YAH: UMUHIMU WA KUANZISHA NA KUENDELEZA VIWANDA VYA KUZALISHA DAWA ZA...
MCHANGO WA WAOKOTA TAKA REJESHI KATIKA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UCHUMI REJELEVU NCHINI TANZANIA
Imeandaliwa na Abdul-Aziz Carter.
Muhtasari
Waokota taka Rejeshi wanachukua jukumu muhimu katika...
Kila mwaka Februari 13 ni maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. Siku hii huadhimisha umuhimu wa redio katika kuhabarisha jamii, kukuza uhuru wa kujieleza, na kuwa msaada muhimu wakati wa majanga...
Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya...
Chawa ni zaidi ya mpambe.
Napenda kuzungumzia hawa chawa wa kiume, kuanzia kwenye siasa, music industry hata mtaani.
Chawa wanapenda lifestyle la wanaume wenzao wenye pesa, ili kuweza na yeye...
Kaka yake Lissu amesema amevutiwa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Rose Mayemba na kwamba atamuingiza ndani ya familia ili kuunda udugu.
Ameyasema ktk mkutano wa hadhara Igungi jana. Mayemba...
Forex na uwekezaji katika hisa mara nyingi huonekana kama utapeli kwa sababu ya sababu hizi hapa:
Udanganyifu na Ahadi za Faida Kubwa: Watu wengi wanavutwa na matangazo yanayodai kuwa unaweza...
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha St. John's, Dodoma, mwaka 2023 bado hatujarejeshewa ada tuliyolipa, ingawa HESLB ilikuwa imelipa ada hiyo kwa chuo. Pamoja na tangazo la chuo la 06/09/2023 kuwa fedha...
Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.
“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo...
Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini?
Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye...
Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu...
Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana.
Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele...
The Golden Generation: A Tribute to Those in Secondary School from 1993-1996
The mid-90s was a transformative era, a golden age of music, sports, science, and global affairs. Those who were in...
VYEO VYA JESHI LA POLISI TANZANIA KWA PROTOCOL
1. RC (Recruit Constable) akiwa mafunzoni.
KURUTA
2. PC (Police Constable) aliyemaliza mafunzo ya awali police officer kamili.
POLISI ASIYE NA CHEO...
Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki...
Habari wadau.
Kila mwaka udsm inamwaga vijana graduates wenye degree mbali mbali.
Mzumbe na udom hivyo hivyo.
Ajira ni ngumu wote tunajua, graduates karibu wote wa vyuo hivyo vikuu huwa...
Hii nikwaajili ya kupeana habari zinazo husiana na issue yetu (Madini)
Kama we ni mchimbaji ama ni mnunuzi wa madini popote ulipo kwenye dunia hii unaweza kuchangia mada yoyote inayo husiana na...