Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

True story: Tea time, Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo. Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa...
66 Reactions
283 Replies
13K Views
Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na...
3 Reactions
24 Replies
820 Views
Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko. Baada ya kutafakari...
18 Reactions
39 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada! Kuna muda mpaka unajiuliza hivi huu mkoa kweli una viongozi au ni vile wako bize na timu yao ya Pamba Jiji. Barabara ya Kona ya Bwiru kuelekea Kitangiri na inayounga...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
USHUHUDA NAMBA MOJA JUU YA MBINGUNI NA KUZIMU.JIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKOJIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKO!FALME ZA MBINGUNI NA KUZIMU,NA KURUDI KWA KRISTOAngelica ZambranoImefasiriwa na Alpha...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
Anonymous
Sisi Wakazi wa Kata ya Buhembe katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera tunaomba Mamlaka ya Maji Bukoba (BUWASA) kushughulikia suala la ukosefu wa maji kwenye Kata ya Buhembe. Serikali imewekeza...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Anonymous
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Igogo, Wilaya ya Nyamagana amekuwa akiwafungia na kuwaamuru Wafanyabiashara kufunga biashara zao akitumia nguvu bila sababu za msingi. Amekuwa akitumia...
0 Reactions
3 Replies
142 Views
Kwenye ulinzi wa Rasilimali zao Wachagga wanapaswa kupongezwa kwa kweli Tofauti na Usukumani walikoachiwa Mashimo matupu migodini Ahsanteni sana πŸ˜„ Kwako Lucas Mwashambwa πŸ˜‚
3 Reactions
16 Replies
412 Views
Awamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli. Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za...
15 Reactions
61 Replies
1K Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku mbili kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuvunja ukuta uliozidi kwenye kiwanja namba P18618 kilichopo eneo la Kigogo jijini Dar es...
2 Reactions
5 Replies
219 Views
Mhadhara (82)✍️ CHUKUA TAHADHALI KABLA YA HATARI. Watoto wa sikuhizi ni watundu sana, hivyo katika uzi huu tunakumbushana mambo madogo ambayo yanaweza kusababisha madhara makubwa ndani kwako...
2 Reactions
0 Replies
87 Views
Kama wewe ni jobless na maisha yamekuchapa,usivunjike moyo wala usikate tamaa Ipo siku moja na wewe utakufa. Ni lazima tuweze kuelewa nyakati na mabadiliko ya kidunia. Tunaishi katika kizazi...
1 Reactions
7 Replies
413 Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba...
1 Reactions
17 Replies
442 Views
Wakuu kuna mambo yasio elezeka yanayoendelea maishani mwangu, hadi kuchukua uamuzi huu, aiseee, basi tu, wakuu. Hali ni ngumu katika duka langu na naipenda familia yangu, naona kabisa nitashindwa...
1 Reactions
4 Replies
146 Views
Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 .. Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba...
7 Reactions
30 Replies
717 Views
Habari za jioni ndugu na marafiki, Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani. Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili...
2 Reactions
53 Replies
776 Views
Habari. Mimi ni kijana wa kiume niliyebahatika kusoma uuguzi nchini Tanzania. Nipende kuwapongeza wote waliobahatika kusoma uuguzi Tanzania maana moja ya kada inayoiendesha hospitali kwa...
9 Reactions
20 Replies
981 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…