JESHI La Polisi Mkoa Wa Songwe Linaendelea Kuchunguza Kifo Cha Elvis Pemba ,20, Ambaye Ni Mkulima Na Mkazi Wa Maporomoko, Tunduma, Aliyeuawa Baada Ya Kushambuliwa Na Wananchi Waliomshutumu Kwa...
Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi.
Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine.
Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi.
Napenda kumshauri huyu ndugu...
My Take
Bilioni 352 ni gharama ndogo ,Watazamaji wa Kukaa 32,000 tuu?
Bora tungejenga taratibu taratibu ila uwanja ambao walau utabeba Watazamaji 45,000 Kwa about 450Bln👇👇...
Studio za Mjini FM zimeteketea kwa moto asubuhi ya leo Januari 12, 2024 huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Video inamuonesha Dorah ambaye ni mmoja wa Watangazaji wa Mjini FM...
Wakuu.
Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa nafanyia Kazi zangu ndani.
Mimi Kazi zangu ni za masoko kununua na kuuza.
Hivyo huwa natafuta wateja wa bidhaa kipitia online .
So Mimi kwa siku naweza...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameipa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni siku mbili kuvunja ukuta wa kiwanja namba P18618, eneo la Kigogo, baada ya...
Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke yanayofanya usafirishaji kutokea Njombe kwenda Iringa na Njombe kwenda Mbeya (Mwendamseke safaris) afariki dunia siku Alhamisi na kuzikwa siku ya Jumapili
Sisi...
Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury...
Mmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Hussein Macheni amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla akiwa nyumbani kwake Magomeni.
Kwa mujibu wa ndugu wa...
Tunaomba wakurugenzi waliopokea vibali vya uhamisho kwa wenza tangu mwishoni mwa December 2024 na mwanzoni mwa January 2025 wawaachie na wao wapate fursa ya kuungana na familia zao...
Mimi ni kijana Mjasiriamali,miongoni mwa vijana wanaostahili kupata mikopo hii kwani Ninakidhi vigezo vyote.
Lengo la kutoa mikopo hii lilikuwa ni kutuwezesha sisi wajasiriamali kuinuka kiuchumi...
Kuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana. Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara, kilimo, ufugaji n.k. Historia iliyojaa machungu na upambanaji...
Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi...
Wakuu habari .
Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo .
Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo...
Mitaa ya Mbeya kuna “njemba” zimepewa tenda za kukusanya taka kwenye kila kata lakini zinaweza kupita siku tatu hadi nne gari ya taka haijapita kubeba taka sasa sijui pesa za taka wanakusanya kwa...
Nimeangalia kwa makini clip ya askari waliojifanya kuwa wa IMMIGRATION waliokwenda kwa Davis Mosha,Mmoja wa hao "maaskari" aliyevaa shati la kijivu alimsogelea kwa kumvizia Davis Mosha wakati...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York Nchini Marekani.
Mkutano huo...