Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ndugu Mteja, Tunapitia kipindi cha maboresho muhimu kwenye mifumo yetu ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha zaidi huduma. Katika siku chache zilizopita, huenda umekumbana na changamoto katika...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na...
11 Reactions
178 Replies
7K Views
Wanasema msanii ni kioo cha jamii na kama unavyojua kioo hakibuni na kutengeneza taswira kutoka kusikojulikana bali huonesha taswira ya kitu kilekile kilicho mbele yake. Kwa lugha nyepesi ni...
1 Reactions
5 Replies
197 Views
Juzi niliweka post nikimuelezea kwa ufupi Mtakatifu Maria Theresa. wa CALCUTTA .....maoni mengi niliyoyasoma yalikuwa yakisema ILI UWE MTAKATIFU au UPATE CHEO KIKUBWA KATIKA KANISA KATOLIKI BASI...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
2022 tulipata kazi fulani nanyumbu Ilikuwa tunaifanya katika kambi za Jeshi ni special task kuwafanyia geo survey so tulipomaliza tu wenzangu wakarudi home mimi nikawa interest na stori za...
82 Reactions
90 Replies
10K Views
Katika kulinda Utawala wa Sheria, Nafasi ya Asasi za Kiraia, na Uwajibikaji nchini Tanzania kupitia mashirikiano yaliyoboreshwa, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesaini...
1 Reactions
0 Replies
86 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
KUUNDA PEPO KUPITIA PUNYETO NA UASHERATI Wakati mtu anatoa mbegu bila sababu matone hayo ya mbegu hutoka na kupaa hewani. Matone hayo hayaingii kikoa takatifu, na hazipati mahali pazuri...
3 Reactions
Replies
Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Februari 2025, amefungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja...
1 Reactions
0 Replies
70 Views
Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini? Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali...
27 Reactions
192 Replies
3K Views
Ni bahati mbaya sana kuona mawasiliano mengi ya Ofisi na Taasisi za Umma zitumii namba za simu walizoweka katika mtandao hasa za TTCL. Simu nyingi hazipatikani kwa kuwa hazijalipiwa hivyo kuleta...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Kumbuka umri wako Vyombo Kumbuka kikundi chako cha umri leo katika mwaka huu 2025 usije ukasahau kusudi lako maishani! Umri wa nyongeza 1925 - miaka 100 1926 - miaka 99 1927 - miaka 98 1928 -...
9 Reactions
19 Replies
795 Views
Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti...
2 Reactions
2 Replies
146 Views
Miaka hiyo nikiwa ni kijana mwenye nguvu, walikuja kijijini kwetu jamaa wawili wameongozana na MZUNGU. Muda wote MZUNGU yuko kimya tu, zaidi ya salamu yake ya Jambo Toto, hata wazee aliowakuta...
34 Reactions
134 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, ulimwengu umewahi kuadhibiwa mara mbili na mwenyezi Mungu kwa mapigo mawili makubwa. Pigo la kwanza wakati wa Nuhu, Pigo la gharika hili lilipozwa kwakuwa maji...
66 Reactions
209 Replies
34K Views
Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa...
1 Reactions
29 Replies
426 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…