Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa.
Unakatika haipiti hata dakika...
Ni jambo la kusikitisha kuona stendi ya Nane Nane, Mbeya, ambayo ni kitovu cha usafiri kwa abiria wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali nchini, ikiwa gizani.
Stendi hii ni chanzo kikubwa cha mapato...
Hivi Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya pamoja na Watu wako wa Mipango Miji wakati mlipokuwa mnawahamishia Wafanyabiashara katika Soko la Sido hivi mlifikiria suala la afya zao?
Mlikuwa mnajua kabisa...
Mimi ni Mkazi wa Pemba ambaye mara nyingi nafanya shughuli zangu za Kibiashara Unguja na Dar es Salaam, kuna jambo moja ambalo limekuwa kero kwa muda mrefu na ninaona kuna haja ya Mamlaka kujua...
Waungwana hivi zile pesa tunazolipa wakati wa kuingia kwenye vyoo hasa maeneo ya Stand zinafanya kazi gani?
Maana vyoo vingi vya Umma vina changamoto ya usafi na ukosefu wa maji bila kusahau...
Wizara ya miundo mbinu , kupitia TARURA , Tunaomba msaada Barabara hii muiangalie , kwanza hatarishi na madimbwi yamekua makubwa ,mazalia ya mbu na kila uchafu. Mkandarasi alianza kazi, mwisho wa...
Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara.
Barabara hii, licha...
Katika harakati za kurekebisha majina ya cheti cha kuzaliwa yafanane na yale yaliyo kwenye vyeti vya taaluma nilikwenda RITA wilaya ya LINDI Mjini, mara ya kwanza nikalipia na kuacha MAJINA SAHIHI...
UDOM wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa tatu sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa.
Na Mahafali tulishafanya tangu tarehe 6 na 7 mwezi wa 12 sasa lakini kimya hamna...
Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli.
Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona...
Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini...
Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi...
Hivi ni nani alitoa wazo la kupafanya Stendi ya Daladala ya Kabwe kila ikifika jioni kupageuza Soko?
Moja hili eneo ni chafu kupita maelezo na Wafanyabiashara wamejianzishia Dampo hapohapo...
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024.
Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri...
Waungwana hivi ni viwanja vyote ambavyo vina changamoto ya vyoo au ni Sokoine Stadium tu hapa Mbeya.
Maana huu uwanja vyoo vyake ni changamoto kubwa, ni vichafu balaa na hakuna maji kabisa...
Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida.
Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti...
Wakati unataka kuunganishiwa huduma ya umeme kama nyumba iko mbali kila nguzo moja ni sh. 515,000/, nguzo ni mali ya shirika, mwananchi ni mteja wa huduma ya umeme kwanini alipie nguzo?
Huu ni...
Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa
Wananchi wanapambana kujenga na...
Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu.
Viroba vya takataka vimerundikwa kila mahali katika mitaa ya Jiji hili.
Wenye...
Habari,
Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.