Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida.
Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana...
Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu.
Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja.
Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma.
Mfano mtu nataka kujua...
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Unyianga kilichopo Kata ya Mtamaa, Manispaa ya Singida tunalia kukosa huduma ya maji safi, ni miaka kadhaa sasa tangu ‘Danganya Toto’ ya kujengewa Tenki la Maji na...
Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu.
Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu...
Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia.
Inapotokea...
Habari za muda,
Mimi ni mdau kutoka Kimara Temboni Saranga mtaa wa Majeshi, tuna changamoto ya maji kukatika ni wiki ya pili sasa hivi inaelekea na tumesharipoti kwa DAWASA lakini hadi hivi sasa...
Kumekuwa na tabia ya madereva wa mabasi ya usiku kwenda mwendokasi licha ya abiria kupaza sauti, mabasi yamekuwa yakienda kwa mwendo Kasi Hadi 120km/h speed kitu ambacho ni hatari.
Mathalani basi...
Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi...
Kila siku hasa jioni kuna pikipi zina pita maeneo ya Goba njia 4 na kupiga mafataki ya “STOP ENGINE” ambayo ulio kama mlio wa risasi na kuzuo hofu sana, hii tabia sasa ni mwaka 2 na naona...
Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye...
Huduma ya mabasi ya mwendokasi inazidi kuwa mbovu, wahudumu na madereva wananyanyasa sana abiria, tunacheleweshwa vituoni zaidi ya saa mbili na inakuwa kero tunachelewa makazini.
Serikali...
Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi.
Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia...
Huu ndiyo mwonekano wa Barabara kutoka Wilayani Bariadi kwenda Wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu, hii Barabara ni hatari Kwa Sasa imekuwa kero kubwa kwetu wananchi.
Barabara imejaa mashimo kuanzia...
Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya.
Ni kama wana utawala wao wapo Dunia yao isiyo na Sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea...
VItuo vya kukatia tiketi za basi ni changamoto sana kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Baadhi ya makampuni yamefungia mifumo ya kukata tiketi online pia makampuni mengine yamejikatia...
Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla.
Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu...
Nilipotaka kuthibitisha taarifa kuhusu leseni za kuchimba madini ya lithium nchini niligundua ramani ya "Mining Cadastre" haipatikani tena. (http://portal.madini.go.tz/map/)
Wizara ya Madini...
Habari JamiiForums.
Manispaa ya Singida vyoo vya umma katika stendi ya zamani, vyoo havina sinki za kunawia mikono, zilizopo zimeharibika wameweka ndoo na kikombe, mtu akitoka chooni anachota...
Wakuu,
Eneo hili nadhani lishasemwa sana mpaka nimekuwa sugu.
Au ni kitege uchumi? Madereva wafanye makosa muende kukusanya hela ya skukuu?
Mamlaka husika embu fanyeni kweli bana, hii sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.