Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nimetoka Lindi leo kabla tu ya mchana na basi letu limeenda mwendo mzuri tu! Hata Vikindu foleni haikuwepo. Saa kumi na nusu ndo tunaikuta foleni ya Kongowe, imeanzia nyuma ya shule ya St...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Anonymous
Kwa takribani miezi mitano, Mzabuni aliyechukua tenda ya Ukusanyaji taka katika Mitaa ya Chanika ya Gogo, Bondeni na Polisi wameshindwa jukumu hilo, hakuna taarifa rasmi au maelezo kutoka Serikali...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Kwa kweli hii namba ni kero sana., unapiga dakika za kutosha(kumi na zaid), unakata kisha unapiga tena simu haipokelewi. Badala yake, unaambiwa uendelee kusubir mpaka unaamua kuacha /kukata...
3 Reactions
11 Replies
310 Views
Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari za jioni ndugu, Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Jana nilikuwa na safari ya kwenda Shinyanga kutokea Mwanza. Niliyoyaona njiani wananchi wakiteseka kutafuta maji kweli inasikitisha sana huku tukiwa na Ziwa Victoria kwenye ukanda wa Ziwa...
3 Reactions
1 Replies
188 Views
Tafadhali sana naomba mrekebishe hicho choo. Ni aibu sana kuwa ja choo kama hicho. Nilijuta kuingia aisee. Ni choo cha shimo na mmeweka sink. Sink limevunjika na choo ni kimejaa so mzigo wote...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Tokea juzi ninapata shida kupata access ya kuingia inanigomea si kwa simu wala computer. Shida ni nini? Pia soma...
0 Reactions
3 Replies
547 Views
Anonymous
Mimi nina kero moja hawa wahudumu wa mabasi ya mwendokasi wanatoza nauli zaidi tofauti na utaratibu wa nauli zilizowekwa kwa kisinginzio cha kukosa chenji. Kwa mfano nauli ya kutoka Mbezi kwenda...
1 Reactions
8 Replies
464 Views
Baada ya stendi ya Buzuruga Mwanza kuhamishwa Na kuelekezwa Maeneo ya Nyamhongoro jijini Mwanza stendi hiyo ilibaki kama matumizi ya magari madogo bajaji pamoja na Dala dala katika jiji hilo...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Mimi ni abiria ambaye natumia huduma ya Mwendokasi karibia kila siku hasa Kituo cha Kivukoni lakini kuna kero ambayo naona siwezi kuendelea kuifumbia macho. Katika Kituo hicho huduma ya choo cha...
2 Reactions
7 Replies
357 Views
Kituo cha mabasi cha Mpemba, kilichopo nje kidogo ya mji wa Tunduma mkoani Songwe kina vyoo vibovu na vinatia kinyaa na aibu. Kati ya vyoo vya haja ndogo 10, vitatu tu ndivyo vizima, vingine...
5 Reactions
11 Replies
776 Views
Anonymous
Idara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika. Ukinywa...
2 Reactions
15 Replies
256 Views
Anonymous
Hii imenitokea Niliandikiwa fine ya laki 3 Nikaomba control number Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo. Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Anonymous
Leo nilikuwa eneo la Buzuruga Shule, ki ukweli hali nilioiona imenisikitisha sana kutokana na marundo ya uchafu yaliyojazana kwenye mitaro maeneo hayo eneo maarufu la Shule. Wahusika watoke...
0 Reactions
5 Replies
460 Views
Anonymous
Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya. Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors)...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Anonymous
Kero yangu kubwa ni kuhusu hizi taa za barabarani (road sign) hapa maeneo ya Tegeta Kibaoni huu ni mwezi wa tatu hivi hazifanyi kazi na wahusika wanaona lakini kimya. Hapa tusipokuwa makini kuna...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Imenishangaza sana, niko hapa Bunda (Mkoani Mara) nina biashara yangu, jana nilienda Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda ili kufanyiwa hesabu nilipe mapato na ushuru wa hotel (hotel levy)...
1 Reactions
4 Replies
577 Views
Habarini, Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms. Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao. Huu ni utendaji mbaya na...
2 Reactions
2 Replies
192 Views
HIvi nyie Watu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) hapa Tabora huwa mnachukuliaje Wananchi? Tangu wiki iliyopita Kata ya Mwinyi hakuna huduma za maji na hata yanapotoka...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Back
Top Bottom