Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakuu mimi ni mtumishi aisee huku niliko Tanga mambo magumu nahisi kutoboa itachukua muda sana wakuu sasa nataka nichague sehemu kama tatu hivi kati ya mkoa wa morogoro (Gairo, Mvomero au...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Hivi inakuaje, Ifakara bado ni wilaya lakini Njombe ni mkoa? Maana Ifakara kuna maendeleo kuliko Njombe mjini.
6 Reactions
226 Replies
28K Views
Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma...
12 Reactions
66 Replies
7K Views
Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto. Ukienda dukani unaonyesha pesa na sio vyeti...
2 Reactions
3 Replies
125 Views
Miji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi. Kasulu ndio Mji mkubwa in terms of population Kwa Mkoa wa Kigoma na uko jirani na Burundi. Ifakara ndio Mji wa Pili Kwa Ukubwa Mkoa wa Morogoro na...
6 Reactions
77 Replies
7K Views
UDSM kuwekeza kwenye kumbi za mikutano na frame Mlimani City kuna tija ya msingi? Nawasilisha kama Swali Ahsanteni sana 😄
1 Reactions
62 Replies
1K Views
Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Naomba serikali ifanye jambo hapa. Ajali huwa hazitokei bahati mbaya. Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani. REJEA ANDIKO HILI...
0 Reactions
4 Replies
166 Views
Ukipata nafasi ya kazi, ukatumwa kazi nenda ukaifanye usiku na mchana, Watanzania wanawategemea ninyi kwa sababu sehemu kubwa ya nchi yetu iko chini ya TAMISEMI’ Mhe. Mohamed Mchengerwa akifungua...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Watendaji idara ya maji Mkoa wa Mwanza Jitafakarini na chukueni hatua za haraka!Eneo Na mitaa ya Nyegezi stendi. Mwanza ni jiji kubwa ambalo, kwa idadi ya watu, ni jiji la pili kwa Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
129 Views
  • Redirect
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamejipanga kuishinikiza serikali iwaajili wote waliokubwa na zuio la misaada kutoka marekani! Hii linadhihilisha wazi kwamba ajira...
5 Reactions
Replies
Views
Ripoti mpya ya Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) inaonyesha kuwa kusitishwa kwa ufadhili kwa ghafla kumevuruga shughuli za NGOs za ndani, kusababisha upotevu wa ajira, kufungwa kwa...
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Anonymous
Tupazie sauti kipande cha barabara cha kwenda kituo cha afya cha Kisemu kilichopo halmashauri ya wilaya ya Morogoro ni kero kubwa sana njia ni mbovu
0 Reactions
1 Replies
75 Views
  • Redirect
Fiverr ni jukwaa la mtandaoni ambalo huwapa fursa watu kutoa na kupata huduma mbalimbali zinazojulikana kama "gigs." Jukwaa hili linatumika kwa njia ifuatayo: 1. Kujiandikisha (Sign Up)...
0 Reactions
Replies
Views
Wakati changamoto za uchumi duniani zikiendelea kuonekana, na wanasiasa wa mrengo wa kulia katika nchi za magharibi wakiendelea na hata kutamka maneno mbalimbali yenye viashiria vya kutatiza...
0 Reactions
1 Replies
353 Views
Remote jobs come in various types, catering to different skills, industries, and work preferences. Here are some common types of remote jobs: ### 1. Fully Remote Jobs - Employees work entirely...
0 Reactions
9 Replies
191 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…