Wakili Paul Kisabo ameeleza kuwa amemuandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) kutaka majibu ya utekelezaji wa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu upelelezi wa walipo Deus Soka...
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini...
Habari wakuu,
Leo naomba niulize swali ambalo kama watu watajibu litasaidia wengi pia.
Miaka ya karibuni kumekua na watu wengi wanafanya remote jobs hasa huko US ila ukiwa popote duniani.
Wenye...
Siku zote nitasimama katika ukweli na katikati bila kuwa ' Mnafiki ' au Kumuonea fulani na hivyo ndivyo nitakavyokuwa siku zote. Kwa masikitiko makubwa kabisa nimekuwa nikifuatilia sehemu...
Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni...
Jana nimeleta uzi huu
https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/
Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine...
Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake...
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Shahada wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kutoka kampasi zote wa Mwaka wa Masomo 2023/2024 tunakabiliwa na changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa vyeti licha ya kufuzu...
Kumbe mende ana maziwa bora kuliko ya Ngombe mazuri kwa watoto
Hivi unajua maziwa ya mende yana lishe bora mara 4 zaidi ya maziwa ya ngombe ni chakula kizuri kwa watoto.
Watu wengi wanapomuona...
Picha: My Camera
"Hatuna dunia nyingine. Lazima tuitunze na kuihifadhi." – Wangari Maathai
Kuna mdau aliandika hapa kuwa mmeamua kupamba jiji la Dar kwa chupa za plastiki. Sasa hii hapa ni...
Amani kwenu. Naomba tusikilize video hii ambayo nimeweka link hapo chini. Tovia Singer ni mwalimu wa dini ( Rabi) mwenye asili ya uyahudi na mwenye kufuata imani ya kiyahudi ( Judaism).
Hapa...
Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
Kila mtu anapofariki hata kama ni kijana mdogo kabisa kauli utakazozisikia ni "mapenzi ya mungu", "mungu amempenda zaidi" na kauli nyingine za aina hiyo, sasa kwa nini mabilionea mungu hawapendi...
Wakuu,
Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira...
Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana.
Matukio makubwa kama mkutano wa...
Usishangae wala usitahamaki maana kwa ujinga walio nao hapo sijawatukana kabisa. Nimewaita washenzi hapo ili kupunguza ukali wa maneno tu lakini nilitamani nitumie maneno zaidi ya hilo kabisa...
MAKALA HII imeandaliwa na
CREEZLE FAREY
WhatsApp ME +255789407381
KAHABA : Kahaba ni neno linalotumika kumaanisha mtu anayejiuza kwa ajili ya ngono. Katika muktadha wa jamii, kahaba mara nyingi...
Wakuu mtakumbuka mara baada ya marekani kutangaza kurudishwa nyumbani kwa raia wa nchi kadhaa, kumekuwa na mfululizo wa misafara ya wenzetu hawa kuelekea nchi zao.
Juzi kati niliona India...
Hapa kuna orodha ya baadhi ya ujanja ujanja wa kimantiki kwa kiingereza zinaitwa logical fallacy ambazo wajanja huwa wanazitumia kwenye debate ama mabishano ya hoja ili kushinda mabishano hayo...