Pichani ni Eric Mandala Kizenga, raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Fally Ipupa alitunga wimbo maarufu kumsifia mkewe, Maria Piron Mandala (PM). Wimbo huu ulizua gumzo sana, na kuonyesha...
Kwangu mimi Mengi alikuwa na akili ya kutafuta hela kuliko MO.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Mengi alitafuta mtaji kwa jasho lake. MO alizaliwa 1975 akakuta mtaji kwenye akaunti.
2. Mengi ni...
Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing...
Ndugu ..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo,
Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania...
Leo tumevamiwa ngomeni kwetu nawana ccm hapa Sombetini Arusha mjini na kuumizwa vibaya kwa baadhi ya wana cdm,nina mengi ya kuwaeleza lakini Niko kwenye tension kubwa,nawaza kwanini OCD kasema...
Wageni wa Kimataifa Wasifunge barabara jijini Dar.
Hivi karibuni tumekuwa na neema ya kupata wageni, wakuu wa nchi za Afrika jijini Dar kwa ajili ya mikutano.
Helkopta zitumike kuwatoa wageni...
Angalia hili lidubwana hapa chini;
Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi...
Wakuu heshima kwenu.
Sipendelei sana kuingia deep kwenye mkasa mzima unaoihusu familia yangu , especially mimi na wife.
Ila kwa kifupi tu, wife alizingua big big big time (usiulize nini maana ni...
ugonile,
before sijajiajiri nilikua nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu endapo nimgeangukia kwenye hayo mambo ya kuajiriwa.
wale mliopo huko ofisini na mpo chini ya watu wanaowazidi...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Kuna tofauti gani kati ya Mamlaka (Authority), Tume (Commission) na Bodi (Board)?
(1) Kwanini zamani ilikuwa...
Tanzania kwa nini tunakua namna hii? Watu wa Brela mtu ameshakamilisha na kujaza form zote na kulipia kila kitu kitendo cha mfanyakazi wa Brela kubonyeza button "FINISH" kinachukua siku 2 mpaka 3...
Siku hizi watu wanapokea simu ambazo zina umuhimu, zina faida, zinawapa furaha, au zina wito maalum kwenye mambo yao. Ukiona simu zako hazipokelewi jiongeze!
Wakati mwingine unaweza kumpigia mtu...
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Ofisi ya Rais, Serikali za Mitaa na Utawala Bora (OR-TAMISEMI), imeanza utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 kwa Shule za...
Mitandao yote ya kijamii matapeli wamejaa ila Facebook kwasababu ina watumiaji wengi kuliko mitandao mingine huko ndiko kuna matapeli concord.
Shemeji yangu mhitimu wa chuo cha kilimo kaliwa na...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO
Kwa mbali naliona pori la chamwino ambalo limikimbiwa kibabe sana
Watoto wa mjini huwa wanaishi mjini siyo porin
Pumzika kwa aman anko magu ...
Group limeundwa na watu wa DAWASA wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi.
Mh. Waziri anahangaika huku na kule lakini wafanyakazi wa DAWASA wachache wanafanya masihara na maisha ya...
Bongo kweli nyoso mvua zote hizi siku sijui ya ngapi hatuna maji,
Haya maji mengi kwamba mnavyojenga sehemu za kuvuna maji mliwaza kuwa sio zote ni kiangazi
Kuweni serious wengine basi, bomba...
Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini...
Nashindwa kujua kwanini serikali haikuwapeleka hawa wasanii wawili huko Korea wakati mchango wao kwenye maigizo ya vichekesho upo wazi. Anyway mimi nataka nije dar kesho kutwa sasa natamani kweli...