Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato unaendelea kwa kasi, huku sehemu ya njia ya kuruka na kutua ndege (runway) ikiwa imefikia asilimia 90 ya utekelezaji.
Hii ni hatua muhimu...
Nimeona hii reply kwenye uzi, ikanifikirisha sana.
Mtu mpaka anaandika hivi lazima kuna kitu kizito nyuma yake.
Nini kimewafikisha hapa? na kuna chochote tunaweza kufanya kuwapunguzia hizi...
Biafra ilikuwa uwanja wa Mpira (openSpace) What is going on now mabati yamezungushwa. Sina hakika kama kuna kitu inajengwa ila inaonekana kuna kitu kinajengwa. Hii sio Sawa
Dar es Salaam open...
Ukitoa DRC au Congo ambayo hadi sasa zaidi ya watu million 12 wameuliwa. Sehemu nyingine ni Ethiopia
Ethiopia watu wanauana kama Kuku kisa ukabila. Serikali ya watigray iliyoongoza kwa miaka 30...
Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys.
Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka...
Ningependa kujua tu Jeshini JWTZ kati ya Luteni mwenye (nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi...
Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo.
Hivyo vitu ni lazima kuwepo.
Yaani ni sharti serikali itumie...
Iweje tarehe ya ujazaji wa bwawa iwe siri?
Kweli Crane ya Tani 26 haijafika hadi leo zaidi ya mwezi umepita?
================================
========================...
Mdada umekuwa na rangi tatu😀, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
Habari wadau!
Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma...
Mimi ni mwalimu niko Tabora, kwa sasa nafundisha Shule ya IPULI HOLY FAMILY PRE AND PRIMARY MISSION SCHOOL, baada ya ajira za Ualimu kutangazwa za Serikalini niliomba, nikapata nafasi ya kwenda...
Habari za muda huu?
Nilitafutiwa chumba na dalali maeneo ya Magomen Kagera pale maeneo ya Oil com, Hivyo basi nilitoa kodi ya miez 5 na Kodi ya 1 ya dalali jumla nikatoa tsh 360,000 kwasababu...
Hii ngoma ya DRC bado mbichi. Na moja kati ya mambo yanayozorotesha maridhiano ni pande zinazotuhumiana kugoma kukutana. Wataalamu wa Conflict resolution & mediation wanasema ukiweza kuzikutanisha...
Nawasalimu sana ndg zangu, ningependa kushea nanyi mawili matatu yanayohusiana na maisha na kwanini hupaswi kuukatisha uhai wako kisa madeni,
1. Mimi ni mwajiriwa niliyekata tamaa na maisha...
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu...
Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.
Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi...
Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema ukitaka ufurahie adhabu basi ukipewa usiione kwa sura ya adhabu bali ona kama ni sehemu kama wajibu wako, kwa mfano ukipewa adhabu ya kumwagilia maua wewe ona ni...
Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k
Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini...
Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli.
Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka...