1. Kukatwa kwa Msaada wa takribani Trillioni 1 TZS kwenye sekta ya Afya/Elimu kwa mwaka. Hilo litaumiza kila mtu, tusifurahie kindezi.
2. Sekta nyingine kama TRA (income tax), Health insurance...
Habari zenu WanaJamiiForums?
Swali langu linauliza je, ni kweli majini wapo? Katika utafiti wangu kuhusu majini sijawahi kukumbana nao. Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka...
Habari wana jamvi, poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa letu.
Naomba niende kwenye mada hapo juu, ni hivi:
Shule ya Tunduru Jamhuri Academy ni shule ya serikali inayosajiliwa...
Kuna shule moja ipo mwanza ambako mwanangu anasomea, nimeshangazwa na taharifa ya Mwalimu Mkuu wa iyo shule akiwataka Wazazi kuanza kuwaijia watoto wao shule.
Hii imetokana na kubadilika Kwa...
Wadau,
Nimesikia leo katika vyombo vya habari kuwa Rais Jakaya Kikwete atawapa vyeti vya uraia wakimbizi wa zamani wa burundi. Mimi ni mdau kwa vile nimekulia mkoani katavi. Kuwapa uraia ni sawa...
Tanzania ndio Nchi pekee ambayo inaruhusu Wakulima wake wawe wanaibiwa na kinyonywa Kwa kuruhusu matumizi ya kilo 100 kama kipimo rasmi Cha kuizia bidhaa za nafaka badala ya kilo 90 kama ilivyo...
U hali ganI mpendwa msomaji, kwa uwezo wa Mungu naamini u bukheri wa siha.
Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza basi ni wazi kuwa kwa sasa tunaishi katika Ulimwengu wa faida. Na utambue tu kwanzia...
Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa...
"DRC haiwezi tu kutuambia tunyamaze wakati wanaongeza tatizo la usalama dhidi ya nchi yetu. Hakuna anayeweza kutuambia tunyamaze"
"Tumekuwa tukiiomba sana DRC na viongozi wake kwa muda mrefu...
Wasalamu!
Humu ndani kunakuwaga na mijadala ya hapa na pale.
Ipo mijadala inayogusa hisia za watu Moja Kwa Moja na kuamsha mihemko ya hasira zinazopelekea matusi na kutoa Lugha chafu na Kali...
Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake.
Aisee...
Watumishi wa Umma Huwa wanaonewa sana na Wanasiasa, Kwa kutumia Hawa TAKUKURU.
Majizi ya Nchi hii ni Wanasiasa na watu wenye vyeo vikubwa lakini sijawahi sikia hao wanaojiita TAKuKURU...
Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu.
Tangu nikiwa mdogo hii...
Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO!
Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana...
Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa."
Kupitia mtandao wa X...
Inasikitisha sana huu uchochezi kufanywa na huyu mtumishi wa Mungu.
Sikutegemea kabisa kuona maneno kama haya yakitolewa na mtu kama huyu
Ningekuwa na mamlaka makanisa kama haya ningeyafutilia...
India ina mgogoro wa mpaka na China. Sasa ilikuwa imeeweka oda ya drone 400 kwenye makampuni yake ya ndani kwa ajili ya usafirishaji wa vifaa kwa majeshi yaliyo mpakani. Sasa imekuja kugundua hizo...