Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri...
Mwanafunzi wa Darasa la Tatu katika Kijiji cha Uruwila, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake.
Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari...
Habari zenu wanajamvi,
Naungana nanyi wote mlioko Tanzania kwa msiba wa kijana mwenzetu Ruge..! Hakika kazi yake ya hapa duniani ameimaliza na mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,
Pia...
Aslaam,
Nafanyakazi katika kampuni binafsi na mshahara wangu hauzidi 600,000. Mpaka sasa nina kama miaka mitatu hivi kwenye hi kampuni.
Wakati naanza kazi malengo yangu makubwa ni kutafuta mtaji...
Dkt. Festo John Dugange, Naibu Waziri TAMISEMI
"Mikopo ya asilimia 10 inatolewa kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kupata mikopo isiyo na riba. [..] Aidha, umri wa ukomo...
Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, amegiza Vituo vya Afya na Hospitali kuwa kusiwepo na Mtanzania yeyote atakayekosa huduma za afya kwa sababu ya kukosa fedha.
Tamko hilo amelitoa leo...
Tangu mwanzo hadi ufunuo sijawahi ona biblia imetamka wazi kuwa manefili yalitokana na uzao wa mtu fulani sijawahi ona hilo andiko.Badala yake maandiko yanakuwa yanaibuka ghafla tu na kuwataja...
Mama hajawahi kuwa na jambo dogo.
Amehamisha familia 1000 hapo na kuwalipa fidia kupisha ujenzi wa bwawa kubwa la Maji la Kidunda ambalo Kwa miaka na miaka lilikuwa stori za mdomoni.
Zaidi ya...
Habari za usiku huu.
Nimeangalia Malumbano ya hoja ITV kuhusu kusitishwa kwa USAid na haya ni maswali Yaliyokosa Majibu ivyo mwenge kujua na asaidie majibu.
1. Ikiwa mtu atahitaji/watanzania...
Hivi ni kweli Mwendokasi wamekosa wataalamu kabisa wa kutengeneza mfumo wa malipo ya kuscan kwa kutumia smart phones. Hoja ya kwamba sio watu wote wana simu janja ni hoja mufilisi ukilinganisha na...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima amehoji serikali imejipangaje pale itakapopokea tiba ya ‘CRISPR Cas 9 Gene Editing’ kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa seli mundu...
Idara mbalimbali zinapopeleka madokezo kwa ajili ya kusainiwa na kulipa, yanachukua muda mrefu bila kusainiwa na kulipa pia, mwisho wa siku unaambiwa madokezo yamepotea.
Tunaomba TAKUKURU Katavi...
Kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala, Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema wiki hii nitaenda Arusha kwa nabii mkuu Dr. Geo Davie na mimi nikakusanye maokoto ya mpunga au gari nitalia mpaka anionee huruma. Nataka kufungua duka la...
Picha inajieleza, je ulianzia ipi kati ya hizo na unakumbuka mambo gani? Mimi nilianzia na "Mjumbe ana hoja pale" ya kwenye kigozi cha kiunoni,
Nakumbuka 2002 nikiwa mitaa ya Unga limited Arusha...
Sera ya faragha (Privacy Policy) ni maelezo ya kina kuhusu jinsi taarifa binafsi zinavyokusanywa, zinavyochakatwa, kutumika na kulindwa katika programu ya simu au tovuti husika.
Wengi wetu...
Salaam,Shalom!!
Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni.
Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu...