Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Salama wakuu wote wa hili jukwaa Mara nyingi nimekuwa na wasiwasi juu ya umri sahihi wa hawa watu wawili maarufu katika historia ya dunia, mwanamziki Tupac Amar Shakur na mwanaharakati wa haki...
1 Reactions
1 Replies
129 Views
Siku ya Kupinga Ukeketaji, ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari, inatoa fursa kwa jamii mbalimbali kuangazia na kupaza sauti kuhusu madhara ya ukeketaji na umuhimu wa kuutokomeza...
0 Reactions
3 Replies
121 Views
Hiki kisiwa kipo underrated sana! Wengi wetu hatukijui kabisa! Tupate kidogo picha za kisiwa hiki. ili safari ijayo ukitaka kusafiri kupumzisha akili usikisahau
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Habari zenu Wanajamiiforums. Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa. Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua...
14 Reactions
201 Replies
4K Views
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo mbalimbali zimeendela kuleta athari ambapo zaidi ya nyumba 100 zimeezuliwa paa na nyingine kubomoka baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo...
0 Reactions
2 Replies
170 Views
Anonymous
Radi ilipiga na kuunguza nguzo hadi kukatika kijiji cha Ilungu karibu na shule mwezi wa 11 lakini cha ajabu mpaka leo bado hawajaja kuweka nguzo mpya ili wananchi wapate huduma ya umeme
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Mwanamke mmoja huko marekani alifungua mashtaka ya kuishtaki kampuni lyft inayotoa huduma za tax mtandaoni kwa kumkatalia sababu ya uzito wake. Sababu hii ilichangiwa wengine wakisema ina ubaguzi...
2 Reactions
10 Replies
299 Views
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Mafia Ndg.Vulfrida John Msele akiwaapisha maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata, Kiapo cha Kutunza Siri na Kujitoa Uanachama wa chama cha siasa...
0 Reactions
5 Replies
205 Views
Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau, Kuna mtu aliomba mkopo bank kupitia mfumo wa ESS. Lakini baadaye akaghairi akawasiliana na HR akacancel mkopo. Lakini leo benki wameweka hela kwenye akaunti,sasa je hii imekaaje...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu. Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya...
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Tanzania imepokea ndege kutoka Jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambayo imetolewa kwa ajili ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Mapokezi hayo yameshuhudiwa na Waziri wa...
10 Reactions
82 Replies
3K Views
Watu wengi hufikiri uchungu wa bia unatokana na pombe. Uchungu wa bia hutokana na mmea unaoitwa hop. Watengenezaji wa pombe hutumia mimea mbalimbali kuzipa pombe ladha mbalimbali. Mmoja wa mmea...
4 Reactions
24 Replies
930 Views
Wanajukwaa habari za muda huu. Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF . Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na...
2 Reactions
11 Replies
737 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
1 Reactions
0 Replies
304 Views
MAELEZO MAFUPI (DONDOO) KUHUSU UKEKETAJI NA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUTOKOMEZA UKEKETAJI Maana ya Ukeketaji Ukeketaji ni kitendo cha kimila kinachotekelezwa na baadhi ya jamii...
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Wadau, naombeni new ideas: Mji au nchi gani ulienda vacation / safari ya mapumziko na ukafurahia? Kama ulitembelea jiji kubwa, ulikaa eneo gani, na ni kitu gani kilichokuvutia zaidi?
5 Reactions
14 Replies
249 Views
Namba ya simu TRA Arusha inaita tu haipokelewi. Why taasisi nyingi za serikali kwenye mawasiliano ni sifuri??
1 Reactions
7 Replies
161 Views
Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, ilijengwa bure? Nani alikuwa mkandarasi, nani alitoa hela, nani alikagua, nani alikabidhiwa...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…