Nimewahi kugombea mara moja tu ila kila nikifiria kurudi tena jimboni narudinyuma, kwani sina uwezo kifedha.
Simulizi ya Fatma Shaaban Mohamed (51), mkaazi wa Kiuyu Minungwini Wilaya Wete Mkoa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuliimarisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kulipatia vitendea kazi ambapo sasa inatekeleza mradi wa ununuzi...
Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi.
Majiko hayo...
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Nyakia Chirukile, amesema Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi billioni 1.2 kwa ajli ya ujenzi wa Mahakama Mpya za Mwanzo, katika Wilaya ya Sumbawanga, Nkasi na...
Wadau wa mahakama mkoani iringa wametakiwa kutenda haki wanapokuwa katika majukumu yao ikiwemo kujenga ukaribu kwa wananchi wakati wa wanapotoa huduma za kimahakama.
Akizungumza wakati wa...
TANZANIA HAINA MUFTI !
TANZANIA HANA SHEKH MKUU!
Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na...
Chanzo cha habar toka ndani ya ofis ya mkurugenzi halmashaur ya wilaya ya sengerema zinadai kwamba pesa zilizotolewa na mh rais wa jamhuri ya muungano kwa ajili ya kuwainua vijana , akina mama na...
Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...
Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!
Na ukipiga huduma kwa wateja...
Habari wakuu.
Katika haya Maisha vitu vyenye thamani kubwa ni UWAMINIFU na HESHIMA.
Kama wewe ni bosi na una mtu huyo katika ofisi yako au usimamizi wa miradi yako basi mzingatie sana huyo mtu.
Zaidi ya wanafunzi 50 wa Shule ya Sekondari ya Kaloleni Islamic ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wamenusurika kuungua na moto baada ya bwenì walilokuwa wakiishi kulipuka moto leo saa saba mchana...
Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM...
Habari za asubuhi Wanajamiiforums!
Kama mjuavyo, nchi yetu ina maadui wakuu watatu, ambao ni ujinga, umasikini, na maradhi.
Katika muktadha wangu, umasikini pamoja na maradhi vyote naviacha nyuma...
TANZANIA HAINA MUFTI !
TANZANIA HANA SHEKH MKUU!
Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na...
Kivuko MV. MWANZA kinachotoa huduma kati ya Kigongo Wilayani Misungwi na Busisi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza kikikatiza katikati ya magugu maji wakati kikiwasili kwa ajili ya kupaki na...
Wakuu kwema?
Sielewi, nimepitia Millitary Ranks za Africa kwenye Website kadhaa naona Tanzania tuko nyuma sana.
Wataalam wa hii ishu eb nisaidieni, naona hadi Sudan wanatuzidi Kijeshi. Kwani...
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa...
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili...
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na...
Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi...
Wakuu hali si shwari kichwa moto hapa nilipo kijana wenu..
Sijui nifanyaje yaani mambo ni ovyo huu mtaaa aiseee
Mshana Jr
Wakuu naombeni utaratibu hapa nianze vipi nende polisi au nikaushe tu...