Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wanajiolojia wamethibitisha kuwa bahari mpya inaundwa barani Afrika ambayo italigawa bara hilo nusu. Inasemwa kuwa ufa wenye urefu wa maili 35 ulionekana katika jangwa la Ethiopia eneo la Afar...
22 Reactions
173 Replies
18K Views
Ni katoto ka mwaka mmoja na miezi kama mitatu hivi. Kakiwa na usingizi tu basi ni lazima kanyonye kidole chake ndo kanalala vizuri, ukijaribu kukatoa tu anaamka na ugomvi (kilio) unakuwa mkubwa...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Ni platform gani naweza sikiza mziki nikiwa sina bundles yaaan nikishaidailod it itwangwe tuu mziki usiku kucha isitumiee bundles lakin
4 Reactions
28 Replies
529 Views
Mungu alimuuliza Ayubu maswali ambayo yalilengwa kwa wanaosema Mungu hayupo. Kama Kuna Atheist anaweza kujibu ajitokeze. Ayubu 38 1 Ndipo Bwana akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na...
5 Reactions
99 Replies
4K Views
Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa; "Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata...
0 Reactions
17 Replies
834 Views
https://youtu.be/pSHVbLPWA28?si=A8eovqRdbZqxvM3u ====================== Kuwa hai ni bahati kubwa sana, lakini kuwa kiumbe chenye akili kuliko viumbe vyote duniani ni bahati mara 10,000 zaidi...
4 Reactions
34 Replies
7K Views
  • Poll Poll
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ; Dar es Salaam Mwanza Tanga Mbeya Arusha Dodoma Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
14 Reactions
164 Replies
12K Views
Kimsingi ukiona mbwembwe zake, unaweza kudhani ni tajiri. Ukweli ni kwamba yeye si tajiri hana SOLID BASE/ Matajiri hawana TABIA za hivyo(Hovyo)..... Alipata kutokea tajiri mmoja miaka ya sabini...
4 Reactions
11 Replies
414 Views
Mbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi...
29 Reactions
318 Replies
9K Views
Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio...
4 Reactions
17 Replies
443 Views
Ni moja ya hadithi mzuri sana kwa uapande wangu maana ndani ya hii hadithi kuna vichekesho lakini pia inaonyesja jinsi gani watu tunavyo ishi Kwanza inatuonyesha watu walio shindwa kufanikiwa...
6 Reactions
34 Replies
970 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa kutakuwa na Sare ya Kitaifa tarehe 8 Machi 2025, kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku...
0 Reactions
10 Replies
597 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (katikati), akizungumza na wanahabari wakati wa kutangaza Ripoti ya Fedha ya 2024 ya benki hiyo, ikionesha mafanikio makubwa ya kifedha na...
0 Reactions
2 Replies
151 Views
Madarasa mengi na Maabara za Chuo cha DIT yana changamoto ambazo zinafanya tunashindwa kusoma tukiwa na utulivu, nazo ni; AC na feni nyingi hazifanyi kazi. Mfano mimi ninasoma ETE, Jengo la...
2 Reactions
50 Replies
1K Views
Wakuu Mimi natumia Sim Card Moja tu kufanya Mawasiliano yangu yote, Pamoja na Kuwa simu yangu ina Support dual sim na Ina Esim capability ila still bado naona Furaha Kutumia Line Moja tu at a...
3 Reactions
5 Replies
163 Views
Katika siku za hivi karibuni, Kijiji cha Itumbi, kilichopo katika Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, kimekumbwa na matukio ya kuhuzunisha na ya kutisha. Majambazi wenye silaha wamevamia kijiji...
4 Reactions
7 Replies
529 Views
Kumekuwa na tabia ya watu wamepanga kuoa na kuolewa kuomba michango. Tabia hiyo imekuwa zaidi miaka ya karibuni kama mtu ana namba yako anaunda group na kukuingiza huko. Wanaopinga michango...
8 Reactions
60 Replies
1K Views
Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo...
1 Reactions
2 Replies
201 Views
Nimesikia huko wakijadili eti binadamu awaye yeyote hufa siku ile ile aliyozaliwa, Yaani kama ulizaliwa jumamosi basi utakufa jumamosi, hata kama utakufa na miaka 89 lakini siku itakuwa ni ile...
1 Reactions
12 Replies
260 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…