Sijafanya utafiti wa kutosha kuhusu mikoa mingine, lakini karibu nimetembea mikoa yote ya Tanganyika. Hali zinafanana—utofauti ni mdogo sana.
Turudi mkoani kwangu, Lindi. Kule, ndugu wa damu...
Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote.
Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Ukweli usemwe na uwekwe wazi
Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda
Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala
Vijana wanatekea wote ni mateja...
👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza...
Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi (...
Wakuu
Hali ya sintofahamu imeibuka eneo la Forest Hill, mjini Morogoro baada ya kifo cha binti Irene Joseph Akaro (30), ambapo mama wa marehemu ametaka mwili kupelekwa Kanisa la Kipentekoste la...
BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KASHFA MBALIMBALI ZA BALOZI MTEULE WA RWANDA NCHINI TANZANIA GENERALI PATRICK NYAMVUMBA.
Ndugu Mheshimiwa...
Wakuu habari zenu. Poleni na majukumu ndugu zangu
Mimi nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Waturuki inaitwa Yapi Merkezi inayojenga reli ya SGR ambayo kwa sasa iko lot 3. Kwa sasa...
Mtandao unakuwa mzito ukiwa Kiteto na kuna muda haupatikani kabisa ni kero kubwa kwa sisi tunaoitumia, pia Haloteli iweke huduma ya kurejesha miamala kama Mitandao mingine (Yas, Airtel na Vodacom)...
"Upendo upo ili tulindane", Kichwamaji, E. Kezilahabi
MAHUSIANO.
Tukiacha kufikiri kifalsafa, mapenzi ni kama rangi ya urembo kwenye haya maisha yetu. Na mara nyingi kupitia upendo uliozaliwa na...
Nchini kwa sasa asilimia zaidi ya 55% ni vijana , ambao wengi hawana ajira na kama ujuavyo nchi yetu ni miongoni mwa nchi ambayo ina asilimia kubwa ya watu wa kipato cha chini..
Sasa sisi vijana...
Nikiwa kwenye mizunguko yangu, nilipata nafasi ya kutembelea eneo la Kawe katika Viwanja vya Tanganyika Packers, ambako kumekuwa na shughuli mbalimbali zikiendelea hapo ikiwemo zile za masuala ya...
Hawa vijana wahalifu waliokuwa wanafanya uhalifu Kinshasa na miji mwingine ya DRC wamenyongwa hadharani: kunyongwa maana yake kuning'inizwa kwa kwamba.
Well,ndio habari yenyewe. Walikuwa wanafanya...
Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali...
Mambo ya kiroho yanahitaji high commitment wewe na higher power yako.
Mwamposa anatoa dhabihu. Ukiwa mtu wa kujituma, smart na unatoa dhabihu katika mamlaka za juu basi utafanikisha mambo mengi...
Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa...
Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika,
Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni...
Stand ya Buzuruga iliyopo Wilaya wa Ilemela Mkoani Mwanza ina changamoto kubwa ya ukosefu wa vifaa vya kuwekea uchafu jambo linalosababisha Wadau wa stendi hiyo kumwaga uchafu chini ikifika usiku...
Mimi ni mzazi ninayesomesha watoto zaidi ya wawili katika shule za sekondari za umma katika halmashauri ya wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Kero yangu kubwa ni kukithiri kwa michango mbalimbali...