Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.
Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa...
Habari za Muda huu wakuu Naombeni order zenu
Ninatoa huduma za usafiri kwa wafanyakazi na wanafunzi kila siku za kazi asubuhi:
Kwa Wafanyakazi kutokea :
• Kibaha - Posta: Tsh 28,000/trip...
Mzee Jengua: "HAPA NI MJINI, UKIONA MTU ANAMEZA KITU AMBACHO HAJANUNUA BASI NI MATE YAKE MWENYEWE"
Cha msingi linda utu na legacy yako, hivyo vikisha tiki, then jifunze wengine wana fanya nini...
Kwa wenye umri kama wangu na kunizidini, kwa hoja hii Tanzania tukimuondoa kwanza Mwalimu Nyerere alafu tuwaangalie marais waliorithi kiti chake.
Ni Rais yupi aliwapelekea watanzania kwa...
Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu...
Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu.
Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa...
Wakuu,
Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.
Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana...
Habari zenu JF
Naomba kuuliza mwenye kuelewa anijuze, nimenunua LUKU mwisho mwa meseji nimeona wameandika DEBT COLLECTED, Hili deni wanalokusanya ni deni Gani?, Kodi ya nyumba au ni Nini?,
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika...
Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma...
Niaje waungwana
Chini ya miamba hii, nchi yetu ilikuwa salama, imara na tishio zaidi kuliko kipindi chochote kile kilichopita, kilichopo na pengine kinachokuja.
Joyce Banda alitest mitambo...
Miaka ya nyuma sana kuliibuka wauza nyumba maeneo ya Mbagara na viunga vyake yani nyumba inajengwa kisha inauzwa na wauzaji wengi walikuwa Facebook.
Kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu kusikia...
Kwa namna ambavyo teknolojia inavyokuwa Watu wengi siku hizi hawatumii tena vocha za kukwangua lakini kuna wachache ambao bado watumia vocha hizo ili kuweza kuongeza salio na kununua vifurushi...
Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa.
Nimefanikiwa kufika mara...
Leo ni siku ya kufungua shule nchini Uganda lakini kinacho nishangaza kila sekita ziko buzy na masuala ya shule, Benki kuna foreni ya kufa mtu watu wanalipia ada za wanao mitandao ya simu ya...
Hawa ndo wenyeji wa jiji la Dar. Wamefukuzwa wamekufukuziwa huko pembezoni mwa Mji na bado wanafuatwa kama vile haitoshi.
Nashauri ni wakati wa sasa nao kudai jiji lao maana wamekuwa watumwa na...
Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora.
Hata hivyo...
Aisee leo mvua imepiga balaa uku lushoto tena ya maradi, nilikuwa ghetto nimetulia naperuzi JamiiForums kwa kutumia internet ya router ya YAS.
Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara...
Mimi nitatamani kujua Maisha yangu nitaishi mpaka kufikia Miaka mingapi ili nikimbize Malengo yangu kwa speed 360.
Hata kama sitaweza kufanikisha yote nitakayo basi angalau nifike level nzuri ya...
Salaam,
Baada ya Mdau wa JamiiForums kulalamikia Ratiba ya Masomo ya Chuo cha ustawi wa jamii Kwamba Wanafunzi wanasoma hadi hadi saa 4 usiku kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa wanafunzi...