Yaani unaamka halafu hauna mishe zozote au mishe ulikuwa nazo zinegoma aisee inapain sana.
Nilipitia hii hali basi bwana nilipopanga chumba unaona vyumba vya majirani zako Wanaamka Mapema...
Baada ya Trump kusitisha misaada Afrika, kumetokea sintofahamu nyingi zikisema, "Haya sasa, huyo Mchina ajitokeze!"
Ukweli ni kwamba Mchina ni mlaghai na mpigaji kuliko hao mabeberu. Angalau...
Leo nimeona mtu akifa kama utani na mbele yangu.
Wakati nikivuka barabara ghafla mtu mwanaume aliyekuwa mbele yangu akaanguka kama kapigwa shoti ya umeme.
Akajibamiza vibaya sana chini na pote...
SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA KUAJIRI WANAOJITOLEA
Serikali imeeleza kuwa iko hatua za mwisho kukamilisha mwongozo utakaoangazia jinsi ya kuwaingiza katika mfumo watumishi wanaojitolea nchini.
Hayo...
Habari za jioni.
Aisee ndivyo wanavyoitwa wanaume wanaopambania ndoa zao kwa wake zao.Yaani mshono gani utoke mke asiutake.Dume hilo mbio mbio kwenda kusaka mafaranga au maokoto hata kwa kubeti...
1: Kwa kila watu 200 unaokutana nao mtaani kwenu basi wa 2 ni mizuka (ghost).
2: Usiipende kujiangalia kwenye kioo Mida ya usiku wa manane kuanzia saa 9 hadi saa 11, sababu mida hiyo taswira...
Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na...
Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha.
Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa...
Askari Polisi wawili wameuawa huko Mpwapwa baada ya kutokea majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa
Mtuhumiwa huyo Athanasia Malenda naye ameuawa.
---
Askari Polisi wawili wamefariki...
Kwa kweli, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kitendo cha marais wa Afrika kuiamini Tanzania na kuja kufanya mkutano ni dhamana kubwa sana ambayo alikuwa nayo Amiri Jeshi Mkuu.
Tuache...
Serikali kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya imetoa dawa za kingatiba ili kudhibiti na kutokomeza magonjwa yasiyopewa kipaumbele, ambapo watu 257,358 kati ya 265,217 walipatiwa kingatiba...
WAKULIMA KIRIMA BORO WATAKA EKARI 37 ZIREJESHWE KWA WANACHAMA
MOSHI
Wanachama 71 wa Chama cha msingi cha ushirika(AMCOS)cha Kirima Boro wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro wamepaza sauti...
*We can't all be rich.
* Health is the real wealth.
(As if all the rich are sick).
*Life is not all about material things.
* Money can't buy happiness.
(As if poverty buys happiness)
*All is...
Habar za mchana wanajamvi.
Leo asubuhi nimepokea taarifa za kifo cha kijana mwenzetu. Ni mshkaji flan mpambanaji, ni mjasiriamali mwenye weledi, alipotoka mpaka alipofika inaelezea uhalisia wake...
Dakika chache zilizopita Rais Samia ametoka kumtaja Rais Mstaafu Kikwete kuwa Rais badala ya kumtaja kama Rais Mstaafu katika Utambulisho wake kabla ya kuanza kutoa Hotuba yake. Kama kawaida...
Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio...
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi ameitaka jamii yote kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mamlaka za usimamizi na...
Habari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini...